Search results

  1. Stephano Mgendanyi

    Kitengo Maalum Kuanzishwa Kusimamia Mikopo ya 10%

    KITENGO MAALUM KUANZISHWA KWAAJILI YA KUSIMAMIA MIKOPO YA 10% Naibu Waziri OR-TAMISEMI anayeshughulikia Elimu Mhe. Zainabu Katimba (Mb) amsema serikali imefanya maandalizi makubwa katika usimami wa mikopo ya 10% kwani imeamua kuanzisha kitengo maalumu cha usimamizi wa Mikopo hiyo kwa ngazi ya...
  2. Stephano Mgendanyi

    BODI YA UTALII TANZANIA KUENDELEA KUUTANGAZA MLIMA MERU

    BODI YA UTALII TANZANIA KUENDELEA KUUTANGAZA MLIMA MERU Wizara ya Maliasili na Utalii kupita Bodi ya Utalii itaendelea kuutangaza Mlima Meru pamoja na Hifadhi ya Arusha, Hifadhi ya Misitu Ziwa Duluti na Maeneo ya Utalii wa Utamaduni katika vijiji vinavyozunguka Mlima Meru kama vivutio vya...
  3. Stephano Mgendanyi

    Mbunge Aysharose Mattembe akichangia Hotuba ya Bajeti ya Wizara ya Afya kwa Mwaka Mpya wa Fedha 2024-2025 Bungeni Jijini Dodoma

    "Namshukuru MUNGU kwa Baraka na Rehema zake kwa kuendelea kunijalia afya njema. Nampongeza sana Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa uwekezaji mkubwa wa miundombinu ya Hospitali za Wilaya, Hospitali za Mikoa, Hospitali za Kanda, Hospitali ya Taifa, Zahanati, Vituo vya Afya, na vifaa...
  4. Stephano Mgendanyi

    MHE. EDWARD LEKAITA, Mbunge wa Jimbo la Kiteto Akichangia Hotuba ya Bajeti ya Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Bungeni.

    MHE. EDWARD LEKAITA, Mbunge wa Jimbo la Kiteto Akichangia Hotuba ya Bajeti ya Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Bungeni Jijini Dodoma "Nampongeza Mheshimiwa Rais kwa kuisaidia Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, tumeona fedha zimeongezeka na ubunifu...
  5. Stephano Mgendanyi

    MBUNGE WA MBOGWE, Mhe. Nicodemas Henry Maganga Amtaka Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii Kufika Mbogwe Kutatua Migogoro ya Ardhi

    MBUNGE WA MBOGWE, Mhe. Nicodemas Henry Maganga Amtaka Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii Kufika Mbogwe Kutatua Migogoro ya Ardhi "Kupitia Kamati ya Mawaziri Nane (08) wanaoshughulikia utatuzi wa migogoro ya vijiji 975, hifadhi ya Msitu wa vilima vya Mkweni haiikuwa kwenye orodha ya Misitu...
  6. Stephano Mgendanyi

    Uwekaji wa jiwe la Msingi katika Ofisi ya Kamanda wa Polisi Mkoa wa Manyara.

    Uwekaji wa jiwe la Msingi katika Ofisi ya Kamanda wa Polisi Mkoa wa Manyara. Ujenzi wa ofisi hii hadi kukamilika kwake kutagharimu kiasi cha zaidi ya Shilingi Bilioni moja , ikiwa hadi sasa immeshagharimu kiasi cha Shilingi milioni 800,000,000 zimekwisha kutolewa kwa ajili ya ujenzi.Haya ni...
  7. Stephano Mgendanyi

    MHE. NOAH LEMBRIS Asema Sijaridhishwa na Majibu ya Waziri Gwajima.

    MHE. NOAH LEMBRIS, Mbunge wa Jimbo la Arumeru Magharibi Akizungumza Kuhusu Bajeti ya Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Bungeni Jijini Dodoma "Niliposoma taarifa ya Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum, Mhe. Dkt. Dorothy Gwajima, katika...
  8. Stephano Mgendanyi

    Mbunge Dkt. Cristina Mnzava Akichangia Hotuba ya Bajeti ya Wizara ya Afya kwa Mwaka Mpya wa Fedha 2024-2025 Bungeni Jijini Dodoma

    "Tunaona uwekezaji mkubwa sana ambao Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan ameufanya katika nchi yetu, tumetembea katika Hospitali mbalimbali za Rufaa za Kikanda na Hospitali za Mikoa" - Mhe. Dkt. Christina Mnzava, Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Shinyanga "Hospitali ya Sekotule, Mwanza sasa...
  9. Stephano Mgendanyi

    Serikali Kununua Mitambo Kumi (10) ya Uchorongaji Kwaajili ya Wachimbaji Wadogo

    - Rais Samia aelekeza mitambo miwili kwa ajili ya wakina Mama na Vijana - Waziri Mavunde agawa Leseni kwa wakina Mama wachimbaji Dutwa-Simiyu - Awataka STAMICO kuendelea kuwasimamia na kuwaendeleza wachimbaji wadogo - RC Nawanda aahidi kusimamia utekelezaji wa mradi wa umeme migodini...
  10. Stephano Mgendanyi

    Mbunge Martha Mariki akimuuliza swali Bungeni Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa

    "Serikali inafanya kazi nzuri na kubwa kujenga miundombinu ya Elimu na kuhakikisha Elimu inafika nchini kote lakini kumekuwa na changamoto ya wanafunzi kutembea umbali mrefu hali inayopelekea Wanafunzi kupanga vyumba mtaani na Kuhatarisha Usalama wao. Je, Serikali haioni umuhimu wa kuleta Sera...
  11. Stephano Mgendanyi

    Mbunge Edwin Swalle: Punguzeni Gharama za Leseni kwa Bodaboda

    Mbunge wa Lupembe, Edwin Swalle ameishauri Serikali kupunguza gharama za leseni ya madereva wa pikipki (bodaboda) kutoka elfu 70 za sasa hadi elfu 20. Swalle amesema gharama hiyo ikipungua itawawezesha wengi kukata leseni na hivyo kupunguza hofu kwa madereva hao ambao wengi wao wakiona polisi...
  12. Stephano Mgendanyi

    Mbunge Alexia Kamguna: Bodaboda ni Kero Wanapita Kwenye Taa, Askari Wanasema Bodaboda Wamewashinda

    "Bodaboda ni kero hatusemi kwamba vijana wetu wasijiajiri kwa kuendesha bodaboda, lakini askari wako pale wakati taa ni nyekundu wao ndiyo wanapita wale vijana ni nguvu kazi ya Taifa wanagongwa kila siku na tunatumia dawa nyingi kuwatibia na pia Taifa linapoteza nguvu kazi," - Mbunge Alexia...
  13. Stephano Mgendanyi

    Mkuu wa Mkoa Queen Sendiga: RUWASA Hakikisheni Wananchi Wanapata Maji Safi na Salama Muda Wote

    Mkuu wa Mkoa Manyara, Mhe. Queen Sendiga amewataka Wakala wa Maji na USAFI wa Mazingira Vijijini (RUWASA) kuhakikisha wananchi Mkoani humo wanapata huduma Bora ya maji safi na Salama muda wote. Ameyasema hayo katika kikao cha watumishi wa RUWASA Mkoani humo kolicholenga kuwajengea uwezo...
  14. Stephano Mgendanyi

    Mwenyekiti UWT Mkoa wa Dar, Cde. Mwajabu Mbwambo Ashiriki Maadhimisho ya Siku ya Familia Duniani Kituo cha Afya Kinyerezi

    📌Kituo cha Afya Kinyerezi 🗒️15/5/2024 Mwenyekiti Uwt Mkoa Dar es salaam Mwajabu Rajabu Mbwambo ameungana na Shirika lisilo la kiserikali TAHECO linalojishughulisha na masuala ya Afya na Mazingira chini ya mkurugenzi wake Shabani Maliyatabu na baadhi ya viongozi wa serikali za mitaa, chama na...
  15. Stephano Mgendanyi

    Mbunge Martha Mariki akichangia hotuba ya Bajeti ya Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi katika Mwaka Mpya wa Fedha 2024-2025 Bungeni Jijini Dodoma

    "Nampongeza Rais wetu Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kazi kubwa anayoifanya katika Taifa letu la Tanzania na jinsi ambavyo ameendelea kuboresha Wizara ya Mambo ya Ndani ambayo inasababisha wananchi tuendelee kukaa katika hali ya ulinzi na usalama" - Mhe. Martha Festo Mariki, Mbunge wa Viti Maalum...
  16. Stephano Mgendanyi

    Mbunge Twaha Mpembenwe akichangia hotuba ya Bajeti ya Wizara ya Mifugo na Uvuvi kwa mwaka Mpya wa Fedha 2024-2025 Bungeni Jijini Dodoma

    "Natoa pole kwa Wananchi wa Jimbo la Kibiti na Jimbo la Rufiji kutokana na kadhia ya mafuriko, nawaomba wananchi waendelee kuwa na subira kwani Serikali ipo kazini inaendelea kuwashughulikia wananchi ambao wamepatwa na mafuriko" - Twaha Ally Mpembenwe, Mbunge wa Jimbo la Kibiti "Namshukuru...
  17. Stephano Mgendanyi

    Taasisi za Serikali zatakiwa kuanzisha Hatifungani

    Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa ametoa wito kwa Taasisi za Serikali kutumia njia mbalimbali bunifu ikiwa ni pamoja na kuanzisha hatifungani ya kupata fedha ili ziweze kugharamia miradi ya maendeleo kwa njia mbadala (APF) na kupunguza utegemezi kutoka Mfuko Mkuu wa Serikali. Bashungwa...
  18. Stephano Mgendanyi

    Mbunge Jacqueline Kainja Aishauri Wizara ya Afya Kuanzisha Kurugenzi ya Famasia (Idara ya Huduma ya Dawa na Vifaa

    MHE. JACQUELINE KAINJA, Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Tabora Aishauri Wizara ya Afya Kuanzisha Kurugenzi ya Famasia (Idara ya Huduma ya Dawa na Vifaa Tiba - Pharmacy). "Hospitali ya Taifa ya Muhimbili kuanzia 23 Julai 2023 mpaka Machi 2024 Idara ya Famasi imeingiza Shilingi Bilioni 34. Lakini...
  19. Stephano Mgendanyi

    Mbunge Aloyce Kamamba: Mwanafunzi Aliyebeba Ujauzito Shuleni Ahudumiwe

    Mbunge Aloyce Kamamba: Mwanafunzi Aliyebeba Ujauzito Shuleni Ahudumiwe Mbunge wa Buyungu, Aloyce Kamamba amesema mwanafunzi aliyepata ujauzito akiwa shuleni akirudi masomoni baada ya kujifungua sheria imuangalie upya namna ya kumhudumia kwa kumpatia elimu kwa kuwa anakuwa na changamoto nyingi...
  20. Stephano Mgendanyi

    Mbunge Vuma Holle: Rais Samia Suluhu Hassan Atakumbukwa Kigoma

    Mbunge Vuma Holle: Rais Samia Suluhu Hassan Atakumbukwa Kigoma Mbunge wa Kasulu Vijijini mkoani Kigoma, Augustine Vuma amesema kazi kubwa ya kumtua mama ndoo kichwani inayofanywa na Rais Samia Suluhu Hassan kupitia Wizara ya Maji imeleta mabadiliko makubwa ya upatikanaji wa huduma ya maji...
Back
Top Bottom