Ni katika kujaribu kuwaza na kufikiria nje ya box na mawazo yangu binafsi.
Mm siyo mtu wa mambo ya mpira sana lakini kwa hii AFCON nilikuwa nipo macho kuifuatilia timu yangu ya Taifa kwa kila hatua.
Kitu nilichokigundua kwa macho na akili na umakini niliokuwa nao kwa namna wachezaji wetu...
Kwani hapo VETA, UDSM, UDOM na huko kwingine mnaenda kusoma nn?., maana kama kuendesha nchi mmeshindwa, kila kitu mnaharibu!
Wasomi msiokuwa na msaada wowote kwa nchi yenu, mnashindwa hata kuunda kidubwana local kama hicho mnakimbilia kuunda magari mtayaweza?
Kwa sasa wengine mnakimbilia...
Ni kweli enyi wana CCM, sisi wananchi ni mitaji yenu na wala hatuna cha kuwapangia na hatuwezi kuwafanya chochote. Kama sisi ni mitaji yenu, basi jaribuni kuilinda ili biashara isije tetereka.
Leo nimejaribu kununua kifurushi kwenye mtandao ninaopenda, nilichokutana nacho kinakatisha tamaa...
Habari ndo hiyo kwamba baadhi ya vikosi vya wanajeshi wa Taifa teule la Mungu, vitaanza kupunguzwa kutoka uwanja wa vita huko Gaza ili kulinda uchumi wa Taifa la Mungu...
Pamoja na mambo yote kuhusu Krismas, leo ni siku na tarehe ya kuzaliwa kwangu.
Namshukuru Mungu kwa baraka na uzima kwa kuniongezea mwaka mwingine katika maisha yangu, daima nitamshukuru...
Ukraine inahitaji vijana kama 450,000 hadi 500,000 toka nje ya nchi kwa ajili ya kupambana na Urusi.
Sasa huu mchongo ukitiki wana wenye connection tushituane wajameni.
======
Ukraine could begin recruiting refugees living in Europe in a bid to boost its battle-stricken armed forces.
Rustem...
Hebu fikiria kwamba huko duniani ni Vladimir Putin, Joe Biden, Narendra Modi, Benjamin Netanyahu, Xi Jinping, Hang Zheng, Frank-Walter Steinmeier, Olaf Scholz, Mikhail Mishustin, Anthon Blinken, n.k.
Kama ni kwamba wenzetu hao hawana hata udokta wowote lkn wanai-run Dunia, sisi tulio na madokta...
Kama mada inavyojieleza hapo juu, tafadhali husika.
Ni nyumba za kulala wageni au ni nyumba maalumu kwa kufanyia uzinzi na uasherati?
Wako katika ujenzi wa Taifa,
DON YRN.
Ni kweli muda mwingine mambo huwa yanabana hadi mamlaka za Serikali kuamua kufanya maamuzi pengine yanaweza kuwa ya ajabu na kusikitisha kwa upande mmoja lakini pia kwa muda huo huo kwa upande mwingine yakawa ni maamuzi ya kutia moyo na kufurahishwa wananchi.
Swali langu ni; Je, Mamlaka za...
Wale mabwana wana njaa hatari, hata buku buku wanachukua. Ole wako utoe leseni bila kiambatanisho utaulizwa hadi "herro, kwa nini tairi za gari yako zina vumbi?, nakuandikia kosa.
Ukiombwa leseni, toa na kiambatanisho baadaye utakuja nishukuru nimekaa pale!.
Nipo hapa kwa kitanda usiku huu wa manane nikiwa na msongamano wa mawazo na kutafakari mambo mbalimbali kuhusu haya maisha hasa kwa sisi vijana ambao tunajitafuta na bado hatujajipata.
Haya maisha ya utafutaji yamejaa vitu vigumu na vizito ambavyo siyo rahisi mtu kukuelezea ni namna gani...
Jina langu naitwa DON YRN. Mwaka 2012 nilihitimu elimu yangu ya kidato cha nne katika mkoa mmoja wapo ndani ya nchi yetu. Matokeo ya mtihani hayakuweza kufikia kiwango cha mimi kuingia kidato cha tano hivyo kulingana na shinikizo na ushauri mbalimbali wa wazazi, ndugu na jamaa niliamua kuangalia...
Kwa mujibu wa Wikipedia, Afya ni hali ya kujisikia vizuri kimwili, kiakili, kiroho na kiutu bila kusumbuliwa na ugonjwa. Hivyo basi, ili binadamu awe na afya iliyo bora yaani asisumbuliwe na magonjwa, yapaswa azingatie kula vyakula vyenye virutubisho vyote kama protini, wanga, mafuta. Anatakiwa...
Lugha ya Kiswahili, ni lugha inayokua kwa kasi ikiwa ni miongoni mwa lugha zenye wazungungumzaji wengi duniani. Ni lugha inayozungumzwa sana kwenye nchi za Afrika mashariki na baadhi ya nchi kuifanya kuwa lugha rasmi katika shughuli za kiserikali na katika mazungumzo ya watu yaani lugha ya...
Ni majengo makubwa makubwa, yenye thamani ya mamilioni ya shilingi yakiwa yamewekezwa. Ndani yake kuna mitambo ya aina mbalimbali yenye kuzalisha bidhaa mbalimbali zinazotumika katika maisha ya kila siku kwa kila Mtanzania. Bidhaa zenye kuzalisha faida za thamani ya mamilioni ya shilingi na...
Na DON YRN.
Habari za wakati huu wadau wa JamiiForums?, matumaini yangu tupo salama katika ujenzi wa Taifa letu. Lengo langu kutoa mada hii siyo kuleta uchonganishi au kuchafuliana biashara, hapana, lengo ni kufichua kile kinachoonekana kipo kinyume kwenye jamii.
Kumekuwa na ongezeko kubwa...
Habari za mchana wasaka tonge na ma-hustlers popote mlipo?. Nina imani mpo salama japo matatizo hatulingani.
Ni hivi; kwa takribani wiki kadhaa sasa hasa hii kanda ya Afrika Mashariki tumekuwa tukizungumzia habari za ukame!, ukame!.
Hali hii imepelekea hasa sisi wakazi wa Pwani na viunga vyake...
Nawasalimu kwa jina la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania!... na kazi iendelee.
Nilikuwa napitia habari na majalada mbalimbali humu mitandaoni kuhusu ukatili wa kijinsia hasa kwa wanandoa, aisee hali inatisha mno hasa kwenye huu uchumi wa kati.
Kuna nyakati inabidi kukaa chini km Taifa hasa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.