Search results

  1. Mjanja M1

    Hongereni NMB

    Picha inaongea mengi kwakweli.
  2. Mjanja M1

    Ni starehe ipi huwezi kuifanya hata ushawishiwe?

    Mm binafsi ni Kuvuta Ganja, kunyonya Mbususu au kula Gambe. Wewe Je?
  3. Mjanja M1

    Picha: Unataka kuwa Mweupe kwa kujipiga kitaulo?

    Kama jibu ni ndio, basi huu ndio muonekano wako baada ya kujichubua.
  4. Mjanja M1

    Maziwa gani yanakukosha kati ya haya?

    Eti ni maziwa gani yanakupa ladha murua kati ya haya mawili?
  5. Mjanja M1

    Unakimbia au unapambania kibunda?

    Ghafra bin Vuu! Unakutana na Mamba kaking'ang'ania kibunda mdomoni. Utachukua maamuzi gani?
  6. Mjanja M1

    Video: Akimaliza anatuma na yakutolea

    Akimaliza kupiga Tangazo mwamba anamtumia Demu wake na yakutolea, lakini unaweza kukuta Demu hata hamjali kivileee!
  7. Mjanja M1

    Picha: Atasoma kweli huyu?

    Huyu Dogo atafaulu mitihani yake ya skonga kweli?
  8. Mjanja M1

    Sitafuti hela kwaajili ya Mwanamke

    Huu msemo wenu wa "tafuteni hela wanaume ili mmiliki pisi kali" hua nauona ni msemo wa kijinga tu, binafsi naipambania pesa kwaajili ya maisha yangu mimi na si ya malaya, mnasujudu ngono sana ndiomaana mnatumia pesa kupata penzi, acheni ufala vijana wenzangu tafuteni hela kwaajili ya maisha yenu...
  9. Mjanja M1

    Kama hauwezi kusamehe usaliti kwanini unaoa?

    Wazee wenu walishasema "Kitanda hakizai haramu". Wazee wenu walishasema "kuchapiwa ni siri ya ndani". Misemo yao yote hiyo ni kuilinda ndoa isivunjike panapotokea usaliti, sasa wewe unaesema huwezi kusamehe usaliti unaoa ili iweje na wakati wazee wenu wameshawa andaa kisaikolojia kukubali...
  10. Mjanja M1

    Ukiachana na Pesa, unahitaji nini sasa hivi?

    Mm nahitaji kumzaba Kofi Olomide shabiki yoyote wa Uto, maana wanasumbua sana kitaaa Tiririka Mkuu.....
  11. Mjanja M1

    Familia za Kiafrika na uzao wa kustaajabisha

    Ila familia za Kiafrika ni noma sana, nina shemeji yangu ambae hajaanza shule. Wewe Je?
  12. Mjanja M1

    Unatokaje kwenye huu mtego?

    Upo zako unagonga menu, mara Paap watu usiowajua wanatolea udenda msosi wako. Utafanyaje?
  13. Mjanja M1

    Ngono: Mwisho vijana watakunywa sumu

    Angalia huyu kijana anachosema,
  14. Mjanja M1

    Video: Utakula au hutokula?

    Mgeni ndio umeandaliwa Chakula hicho hapo, je utakula au hautokula?
  15. Mjanja M1

    Picha: Umemtambua huyu ni nani?

    Huyu ni msanii mkubwa ulimwenguni, je umemtambua kuwa ni nani?
Back
Top Bottom