Familia za Kiafrika na uzao wa kustaajabisha

Screenshot_20240421-170514_WhatsApp.jpg
 
Kuzaa zaa kama funza , ni tatizo sana kwenye jamii za Kiafrika
Kwa mtindo huu hata planning ya maendeleo ya kijamii ni ngumu sana , unajenga shule leo ,mwaka ujao kuna uhitaji wa shule tatu ,na uchumi huu wa ovyo
Kila siku itakuwa ni wimbo ule ule
 
Back
Top Bottom