Search results

  1. M

    Fani nyepesi kutoboa kwa upande wa IT kwa ngazi ya Masters degree

    Salam wanajamii Forums! Tunaomba msaada kwa wenye uzoefu je kwa upande wa fani za IT, Ni fani ipi nyepesi kutoboa kwa ngazi ya Masters Degree? Kijana anaomba msaada!.
  2. M

    Kwa hili la kuwasafirisha Yanga, natofautiana na Serikali

    Siku ya jana Jumatatu April01, 2024, baadhi ya vyombo vya habari nchini Tanzania vimeripoti vikiwakariri baadhi ya viongozi wa serikali wakitoa taarifa ya kugharamia safari ya mashabiki wa club ya Yanga kwenda na kurudi nchini Afrika kusini ili kwenda kuishangilia timu hiyo itakapoumana na timu...
  3. M

    Robo fainali na Al Ahly Vs Simba iongeze uwekezaji wa mbinu katika maeneo haya

    Siku ya Tarehe 29 Mwezi huu wa March 2024, Timu ya Simba itatupa karata yake ya mchezo wa mkondo wa kwanza wa mechi za robo fainali dhidi ya miamba ya soka Afrika, Al Ahly Sporting kutoka nchini Misri . Sote tunatambua ugumu na umuhimu wa mchezo huo ambao kwa upande wa Simba ndio utakaotoa...
  4. M

    Je, ni walimu pekee ndio watumishi wenye kero ya kuhitaji madaraja mserereko?

    Salam wana JF! Kuna sintofahamu kubwa imeibuka miongoni mwa watumishi wa umma hasa wale wa kada zingine tofauti na walimu. Hii ni kutokana na namna serikali inavyoonyesha ubaguzi katika kushughulikia kero za walimu dhidi ya kero za watumishi wengine, Mfano kwa miaka miwili mfululizo sererikali...
  5. M

    Rais, Wananchi tunaomba msamaha wa Kodi za nyuma uhusishe pia kodi za Pango la Ardhi

    Wakuu Salam! Moja kwa moja kwenye mada! Hivi karibuni akiwa ziarani katika moja ya mikoa ya kanda ya ziwa Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan alizitaka mamlaka za kodi kuacha kudai kodi za kuanzia miaka miwili (2) nyuma, huku akibainisha wazi kuwa kitendo cha kodi hizo kulimbikizwa ni uzembe wa...
  6. M

    Wito wa serikali kuzitaka Taasisi za fedha kushusha viwango vya riba upewe mkazo

    Salam ndugu wana JF! Moja kwa moja kwenye maada, ndugu zangu kwa muda mrefu kumekuwapo na wito na maagizo mengi ya serikali kuzitaka taasisi za fedha kushusha riba wanazotoza katika mikopo wanayotoa kwa wanananchi. Kila linapojitokeza tukio linalomkutanisha ama Rais, Makamu wa Rais, Waziri...
  7. M

    Ushauri: Rais avunje wizara za TAMISEMI na Utumishi ili kupunguza matumizi

    Wadau Salam kwenu Moja kwa moja kwenye mada Katika uchunguzi wangu nimebaini kuwa kuna wizara kadhaa ambazo lait kama leo hii Mh. Rais Samia angeniomba kumshauri kuzifuta kwa lengo la kupunguza ukubwa wa serikali ili kubana matumizi ya serikali yasiyokuwa na ulazima basi ningemshauri kuzifuta...
  8. M

    Wanawake mmepata mtu wa kuwasemea na kuwainua, sasa achaneni na ajenda za pesa mboga, njooni na ajenda muhimu!

    Kheri kwenu kina mama wote! Niende moja kwa moja kwenye mada. Natumaini sote tunatambua Rais na kiongozi wan chi yetu kwa sasa ni Mwanamke, kama jinsi alivyojipambanua mara baada ta kula kiapo kuwa Yeye ndiye Rais wa JMT ambaye kimaumbile ni mwanamke, nasi tulimpokea na tunaendelea kumuunga...
  9. M

    Bench la Ufundi SIMBA SC tafadhali rekebisheni haya kabla jahazi halijazama!

    Wandugu Salamu! Niende moja kwa moja kwenye mada. Nikiwa kama mdau wa soka na shabiki wa Club ya Simba nimefanya ufuatiliaji wa performance ya kikosi chetu, nimebaini aadhi ya mapungufu ambayo kwa namna moja au nyingine yametunyima ushindi katika mechi tatu muhimu tulizocheza hadi sasa...
  10. M

    SoC01 Sababu za watu kuwa walevi wa Pombe, namna ya kuachana na tabia hiyo na faida za kutokunywa Pombe?

    Utangulizi: Ulevi wa pombe limekuwa ni janga linaloitafuna sana jamii yetu kutokana na kusababisha matatizo mengine mengi zaidi ikiwemo umaskini, migogoro kwenye ndoa, ugomvi na hata mauwaji, watu kufukuzwa kazi , matatizo ya kiafya na mengineyo mengi. Pamoja na matatizo yote hayo lakini bado...
  11. M

    SoC01 Namna Bora na Endelevu ya Kutatua Tatizo la Mrundikano wa Machinga Katika Maeneo Yasiyo Rasmi kwa Biashara

    Utguanlizi: Machinga ni jina maarufu wanaloitwa wafanya biashara ndogondogo wa mijini na vijijini kote nchini. Wafanyabiashara wa kundi hili wanatabia ya kuhamahama kutembea huku na kule kutafuta maeneo wanayoona wanapata wateja wengi wanaowaungisha bidhaa zao. Utamaduni huu wa kuhamisha...
  12. M

    SoC01 Namna Bora ya kukabiliana na Uvuvi Haramu

    Utangulizi Kwa muda mrefu kumekuwapo na changamoto ya wananchi wengi waishio katika maeneo yanayozunguka bahari, maziwa na mito kufanya shughuli za uvuvi bila kufuata sheria na taratibu zinazowekwa na serikali na hivyo kufanya serikali kukosa mapato huku samaki na viumbe wengine waishio majini...
  13. M

    SoC01 Majanga ya moto na mbinu endelevu za kukabiliana nayo

    Ajali za moto katika jamii yetu zimekuwa ni majanga yanayohitaji mjadala makini kutokana na athari kubwa yanazosababisha pindi yanapozuka katika maeneo mbalimbali ikiwemo katika taasis za umma kama vile vyuo, mashule na katika vituo vya biashara kama vile masoko na maeneo mengine. Athari zake...
  14. M

    SoC01 Namna bora ya Waajiri kuwakomboa Watumishi wao na kadhia ya madeni katika Taasisi za Kifedha

    Utangulizi Kwa muda mrefu kumekuwapo na kilio cha watumishi wa umma na taasisi za binafsi wakilalamikia masharti magumu wanayokumbana nayo katika taasisi za kifedha nchini ikiwemo riba kubwa za mikopo wanayoomba kwenye taasis hizo. Mabenki na taasisi hizo humvutia mkopaji kwa kumuwekea...
  15. M

    SoC01 Ufanye nini ili kuepuka talaka katika ndoa yako?

    Utangulizi: Ndoa ni muunganiko wa hiari unaotokana na maridhiano baina ya mwanaume na mwanamke. Maridhiano haya hutoka moyoni kwa kila mmoja baada ya kuwa ameshawishika na kuridhika na mwenzake, kulingana na vigezo anavyovitaka na hivyo huamua kuushusha upendo wake kwa mwenzake, humuamini na...
  16. M

    SoC01 Mbinu Endelevu za Kuwaondoa Ombaomba Mitaani na Kuwafanya Wajitegemee kwa Kipato

    UTANGULIZI: Kwa muda mrefu kumekuwapo na wimbi la ombaomba katika miji na majiji nchini kwetu. Pamoja na serikali kuchukua hatua mara kadhaa kuwaondo ombaomba hawa lakini tatizo limekuwa likijirudia kila wakati na kubakia kuwa tatizo sugu lililokosa ufumbuzi endelevu. Pengine ni kutokana na...
Back
Top Bottom