Ntamtaka nani zaidi ya yeye ,hakuna Rais mwingine zaidi yake. Kusema nataka Rais mwingine wakati muda wake haujaisha ni utaahira.Ajabu nyingine sasa ya binadam wa humu wanataka katiba Mpya wakati hii iliyopo tu hawaitii na kuifuata sasa wataitii VP hiyo Mpya waitakayo?
Sasa si ufunguke hapa mkuu mbona unaongea kimafumbo mafumbo??kama elimu ambayo mwingine hana na anakubishia unamthibitishia tu hapa kwa kile ukijuacho kwa faida ya wengine,au kuna masharti?
Mjibuni basi mtoa mada naona mnabishana tu Mizimu ni nini??
Inafanyaje kazi ?
Inahusiana VP na maisha yetu?
Tambiko ni nini??
Linahusiana VP na maisha yetu?
Akufatilie nani ww Mbwa,tuko humu kurelax kusoma na kuexchange ideas na watu tofauti tofauti,kwa hio niache kusoma kuchangia na kupost eti nianze kukufuatilia ww maskini ambae huna influence yeyote?ww kweli akili zako ziko matakoni.
Hoja yeyote ikiwa mezani nikiona kuna haja ya kuchangia...
Za kuambiwa changanya na zako.Mkuu mtoa hoja nimekuelewa vizuri sana,unamaanisha usikomae kutoa hela nyiiingi kwenye kusomesha wakati kuna uwezekano mtoto akasoma shule za kawaida tu na again kilekile endapo ungempeleka shule za kawaida.
Soko LA ajira limekuwa tete,wasomi wamekuwa lukuki issue...
Sijui kuna mahusiano gani bhana kati ya mvua na sikukuu za kidini..waumini watasema ni Neema hiyo.
Huku wenye imani haba utasikia wachawi wanaleta mvua ili kuharibu sikukuu sababu wao hawako vizuri kiuchumi.
Basi sisi wenye masikio yetu tunayapandisha juu kidogo ili tusikie wana sayansi nao...
Kibu hakuna kitu,Kibu ni Ditram Nchimbi mwenye rasta..tena afadhali ya Ditram ana kasi na nguvu zaidi kuliko kibu.
Magoli aliyofunga ni kwa vile Shikaro amekuwa pazia angekuwa Kaseja langoni pamoja na uzee wake asingefungwa magoli ya hovyo namna ile.
Goli ambalo Shikaro huwezi kumlaumu kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.