Mke wangu ni mfupi, je atazaa watoto wafupi?

Marekebisho: TALLNESS Ni DOMINANT, shortness Ni recessive.
Hivyobasi! Ndio maana
1) wazazi WOTE wakiwa wafupi(kwa nje) watoto WOTE Ni wafupi, kwa maana wazaz Ni Homozygous recessive
2) Wazazi wote warefu, watoto mchanganyiko kwa maana ufupi ulifichwa na urefu wa nje
3) Mzazi 1 mfupi mmoja mrefu, watoto mchanganyiko japokuwa % nyingi wanaeza kuwa wafupi.
Kwa maelezo/SoMo kamili njoo private.
Nawasilisha...

Kwenye Urithishwaji( Genetics)

Shortness is a Dominant trait
Tallness a Recessive trait

Kwa hiyo wakioana mrefu na mfupi, chansi kubwa ni watoto kuwa wafupi au intermediate height.

Wanawake wao wapo makini na hili kwamba atazaa watoto wa namna gani kuliko wanaume.

Chagua wewe
Always kama a man unapotaka kuamua jambo binasfi linalokuhusu wewe binafsi jiulize angekua Mwanamke angefanya nini hapa
 
Wastani huo sio mfupi kwa kibongo
Huyu jamaa anaonekana pia ni mbilikimo tu, 5"0 kwa mwanamke bongo ni kimo cha kawaida tu. Sisi kwetu tupo 3 wakiume wawili na wa kike mmoja.

Baba yetu ni mrefu ana kama 5" 9 na mama yetu ni mfupi ana kama 5"0 - 5"2 havuki hapo, kaka yetu mkubwa ana lingana urefu na baba, mimi ni mfupi kidogo kwao nina 5"4 na dada yetu ni mfupi ana kimo sawa na mama. Unaweza kuona mchanganyiko huo. hicho kimo cha huyo dada hakina shida kabisa.
 
Yeah wastani mzuri kwa wanawake wetu kibongo bongo mrefu sana hatobi 5”4
 
Marekebisho: TALLNESS Ni DOMINANT, shortness Ni recessive.
Hivyobasi! Ndio maana
1) wazazi WOTE wakiwa wafupi(kwa nje) watoto WOTE Ni wafupi, kwa maana wazaz Ni Homozygous recessive
2) Wazazi wote warefu, watoto mchanganyiko kwa maana ufupi ulifichwa na urefu wa nje
3) Mzazi 1 mfupi mmoja mrefu, watoto mchanganyiko japokuwa % nyingi wanaeza kuwa wafupi.
Kwa maelezo/SoMo kamili njoo private.
Nawasilisha...

Kwa mujibu wa Mendel tallness is a dominant trait in plants and shortness recessive

Lakini inapokuja kwa binadamu Urefu ( height) ni polygenically determined kwa hivyo Tallness huzidiwa nguvu na shortness ndio maana watu wengi ni of intermediate height!
 
Muulize Mungu maswali hayo sisi usituonee usituchoshe hatuhusikagi na hio mipango ya kutengenezea binadamu wapya vimo
Mhhhh!!!!, Unahisi upo sahihi kumtaja MUNGU ktk mambo haya yaliyokaa kimzahamzaha??.Jamani muogopeni MUNGU maana yeye yuko Mbinguni miguu yake duniani,nasi tupo chini ya jua.
 
Back
Top Bottom