Underthesea
JF-Expert Member
- Jul 8, 2021
- 327
- 882
154cm ni 5'0!! Shorty short154cm mbona kwa mwanamke ni wastani kabisa!
Amefika 5”4 huyo wanawake wengi wafupi hawafikagi huo urefu na warefu wengi huishia 5”6

Wachina hawana lishe?Duniani hakuna mtu mfupi wala mwembamba,lishe ndio mchawi
Hata mimi nimeshangaa...ana ufupi gani huyo? Imebidi na mimi nijipime. Usiniulize nimepata ngapi154cm mbona kwa mwanamke ni wastani kabisa!
Amefika 5”4 huyo wanawake wengi wafupi hawafikagi huo urefu na warefu wengi huishia 5”6
Don't stress yourself about nonsense things Dude. You love her, marry her, watoto kuzaliwa wafupi au walefu ni genetics.Jambo ndugu zangu
Leo nimekuja na mada mpya na itaji ushauri kutoka kwenu
Kuna mwanamke ambaye tunapendana naye
Na tunapanga kufunga pingu za maisha in the future
Sasa mimi kuna jambo ambalo linanitatiza kidogo najiuliza maswali ukweli sijapata majibu
Kwa wanao jua plz naomba munisaidie
KABLA YA Kuongeya mada hii ni ombe sorry maybe kuna watu ambao wanaweza kunihelewa vibaya ni sema na uliza ili kujua
Uyo mwanamke ambaye mimi nipo naye ni mfupi saana na fikiri atakuwa na pima inch 1,53 au 1,54 cm na katika familia yao yeye ndo anahonekana mrefu kidogo wengine wote ni wafupi saana
Sasa mimi kinacho nitatiza na jiuliza ivi tukizaha watoto naye uyo mwanamke si watoto watachukuwa kimo cha mama yao au wajomba zake ?
Maana nina rafiki yangu mmoja ivi baba yake ni mrefu mama yake ni mfupi
Yaani watoto wote wamechukuwa kimo cha mama yao but kuna mmoja tu ndo kachukuwa kimo cha baba yake kwa watoto wasaba mmoja tu ndo mrefu
Na sio tu kwa rafiki yangu mimi mara nyingi naonaga watoto wengi wanachukuwaga vimo vya mama zao
Naombeni ushauri juu ya jambo ili ndugu zangu
Na sijapost ili kutukana watu wafupi
Labda munaweza ni elewa vibaya
Kula nyoka na kenge utarefukajeWachina hawana lishe?
Sio asante tu, urudi shule ukajifunze kuandika vizuri ndio tuendelee kumkosoa Mungu kwenye uumbaji kama unavyotaka.
Hahahahah 4”7Hata mimi nimeshangaa...ana ufupi gani huyo? Imebidi na mimi nijipime. Usiniulize nimepata ngapi
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Kama unafikiria kuoa na una mawazo mgando namna hii nitakushangaa! Atleast ungewaza labda mke albino watoto wanaweza kuwa mutated ningekuona una mantiki!Jambo ndugu zangu
Leo nimekuja na mada mpya na itaji ushauri kutoka kwenu
Kuna mwanamke ambaye tunapendana naye
Na tunapanga kufunga pingu za maisha in the future
Sasa mimi kuna jambo ambalo linanitatiza kidogo najiuliza maswali ukweli sijapata majibu
Kwa wanao jua plz naomba munisaidie
KABLA YA Kuongeya mada hii ni ombe sorry maybe kuna watu ambao wanaweza kunihelewa vibaya ni sema na uliza ili kujua
Uyo mwanamke ambaye mimi nipo naye ni mfupi saana na fikiri atakuwa na pima inch 1,53 au 1,54 cm na katika familia yao yeye ndo anahonekana mrefu kidogo wengine wote ni wafupi saana
Sasa mimi kinacho nitatiza na jiuliza ivi tukizaha watoto naye uyo mwanamke si watoto watachukuwa kimo cha mama yao au wajomba zake ?
Maana nina rafiki yangu mmoja ivi baba yake ni mrefu mama yake ni mfupi
Yaani watoto wote wamechukuwa kimo cha mama yao but kuna mmoja tu ndo kachukuwa kimo cha baba yake kwa watoto wasaba mmoja tu ndo mrefu
Na sio tu kwa rafiki yangu mimi mara nyingi naonaga watoto wengi wanachukuwaga vimo vya mama zao
Naombeni ushauri juu ya jambo ili ndugu zangu
Na sijapost ili kutukana watu wafupi
Labda munaweza ni elewa vibaya
Wewe shida yako mke au nini?Jambo ndugu zangu

Hapana mkuu usimdhihaki alichohoji kinamaana mkuu. Familia nzima kuwa mbilikimo hilo ni tatizo.😃😃Kama unafikiria kuoa na una mawazo mgando namna hii nitakushangaa! Atleast ungewaza labda mke albino watoto wanaweza kuwa mutated ningekuona una mantiki!
Aache huyo mtoto wa watu basi apambane na warefu akina flaviana matataHapana mkuu usimdhihaki alichohoji kinamaana mkuu.
Hahahah sawa ila usihofu utarefuka bana😂
Jamani hadi wazee wanarefuka?Hahahah sawa ila usihofu utarefuka bana
Huyo akuachie ww.Aache huyo mtoto wa watu basi apambane na warefu akina flaviana matata
Kama itampendeza aniachie maana wanaochaguaga sana mademu huwa hawajui wanawake wazuri wa kuoa ni wapi!Huyo akuachie ww.