Mi nakuambia nikijuacho na nikionacho. Wana miujiza ya ajabu. We kubali tuMzungu hausiki
Ok elimu ni panaMi nakuambia nikijuacho na nikionacho. Wana miujiza ya ajabu. We kubali tu
We utakua sio bantu utakua kinilotik ki tusi viuaji vi shenzi. Dunia haina mwisho na ss mpaka mzungu atapiga magoti tu hakikaOk elimu ni pana
Sasa si ufunguke hapa mkuu mbona unaongea kimafumbo mafumbo??kama elimu ambayo mwingine hana na anakubishia unamthibitishia tu hapa kwa kile ukijuacho kwa faida ya wengine,au kuna masharti?Mi nakuambia nikijuacho na nikionacho. Wana miujiza ya ajabu. We kubali tu
Ahsante kwa swali zuri ,kabla sijakufafanulia je,kwanini unataka kutakbika kwa ajili ya. Nini!?Natamani kujua kuhusu nguvu ya tambiko! Sielewi ni nini na linafanyikaje.
Baada ya mambo yangu kutokwenda sawa na kuendelea kuota ndoto za kiuganga uganga hatimaye nimeambiwa natakiwa kufanya tambiko upande wa baba ambapo hata sielewi ndiyo nini.
Naomba anayejua anieleze kwa kina kabisa ili nijue nafanya au napuuzia!
Mungu yupi..wa waarabu..wawazungu..wawahindi..wawachina..mbona sisi miafrika mipumbafu sana.Mkuu Mtegemee Mungu,Achana Na Hayo Mambo.
Hao mizimu ya wazungu manao wapigia magoti wawaombee kwa jina la watakatifu..wapo mbingu ipi?Mizimu ni mashetani mtu akishakufa nafasi yake haipo tena duniani
Ulichukua muda gan had kukaa sawa? Na ilikuaje akajua anahitaj tambiko?Dada yangu alipitia hayo, ilibidi aende bush wakatambike na kucheza ngoma akakaa sawa.
Ila wale wa takatifu vibabu vya kizungu ndio vipigiwe magoti tuviombe vituombee..foolish afrikansMizimu ni maroho machafu au mapepo yanayojivika taswira za watu waliokufa zamani ambao mnawaita mababu ili yapate kufanyiwa ibada. Kwa hiyo mnachinjia mbuzi mapepo mkifikiri ni mababu zenu. Binadamu akishafariki kumbukumbu lake linatoweka wala hakuna lolote analojua miongoni mwa walio hai. Soma hapo chini kutoka kitabu cha Ayubu...........
AYUBU: MLANGO 14.
10 Lakini mwanadamu hufa, huifariki dunia; Naam, mwanadamu hutoa roho, naye yupo wapi?
11 Kama vile maji kupwa katika bahari, Na mto kupunguka na kukatika;
12 Ni vivyo mwanadamu hulala chini, asiinuke; Hata wakati wa mbingu kutokuwako tena, hawataamka, Wala kuamshwa usingizini.
21 Wanawe hufikilia heshima, wala yeye hajui; Kisha wao huaibishwa, lakini yeye hana habari zao.
Kivip?Mambo yako kwenda hovyo ni matokeo ya mtazamo wako zaidi kuliko ukweli halisi
Asante kunisaidia! Nataman kujua kwa kina hasaMjibuni basi mtoa mada naona mnabishana tu Mizimu ni nini??
Inafanyaje kazi ?
Inahusiana VP na maisha yetu?
Tambiko ni nini??
Linahusiana VP na maisha yetu?
Ndio utujuze na sisi tueleweMimi naongea nikijuacho. Labda nyie mnaongea msivyo vijua.
Hapo hata mimi sielew ila sasa nimekua nikikubwa na changamoto kubwa mbalimbali hlf ukiangalia sababu inakua ndogo na hata haieleweki, tena nikaanza kuota ndoto kama za kiganga sasa imefikia hatua mbaya zaid ndiyo nimeambiwa natakiwa kufañya tambikoAhsante kwa swali zuri ,kabla sijakufafanulia je,kwanini unataka kutakbika kwa ajili ya. Nini!?
Anayeabudiwa ni Mungu Mwenyezi muumba mbingu na nchi na vitu vyote vinavyoonekana na visivyoonekana, siyo hayo maroho machafu mnayoita mababu zenu, sijui mizimu.......ni mwendo wa uchawi, ulozi na kutoana makafara.Ila wale wa takatifu vibabu vya kizungu ndio vipigiwe magoti tuviombe vituombee..foolish afrikans
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe acha kupoteza muda, soma bandiko langu nimeshaeleza hayo mauchafu wanayoita mizimu......Asante kunisaidia! Nataman kujua kwa kina hasa