Uzuri wa mwanamke ni nini?

Kwangu mm demu we simple yaani asiwe mnene na asiwe mwembamba, Kisha awe na taking...
Narudia Tena TAKOOO!!!
 
Tatizo wengi mnachanganya uzuri wa kuonekano na taibia.

Kwa bahati mbaya ni sura na umbo pekee ndio tuna uwezo wa kuona kwa urahisi, tabia ni ngumu...sanasana anaweza tu kuigiza.

Ni suala la kubahatisha tu maana inawezkana ukamkimbilia asiye na sura au umbo la kuvuti na bado akakosa tabia za kutoshea kuwa Mke makini.
 
Je uzuri wa mwanamke ni sura au tabia?
ni vigezo gani vya kuhangalia kwa mwanamke anaye stahili kuolewa?

Je ni malezi ya familia ya mtoto wa kike
Au ni tabia za mtoto wa kike
Achana na hayo yote mkuu.
UZURI WA WANAWAKE NI HUU
JamiiForums1080656935.jpg
 
Nahesabu kura hapa za wanaosema uzuri ni tako na kura yangu ikiwemo mwishoni ntatoa mrejesho kundi lipi limeshida kati ya
Sura
Tabia
Na tako
 
Cha kwanza uelewa/akili
Cha pili uchaji
Cha tatu kujiheshimu
Wanaosema sura wanaongozwa na mguu wa tatu.
 
Je uzuri wa mwanamke ni sura au tabia?
ni vigezo gani vya kuhangalia kwa mwanamke anaye stahili kuolewa?

Je ni malezi ya familia ya mtoto wa kike
Au ni tabia za mtoto wa kike
Ukishindwa vyoote angalia TABIA NJEMA.

NOTE;
( TAko BIdhaa Adimu) au TABIA.
 
Ni sura m3ngine ni kunyooshana tu

Jidanganye! Bora hata sura plastics surgery zipo km necessary,tabia hiyo ni curriculum tofauti kuibadilisha Tabia ni key criteria.Tako na sura havimati sana ukubwani kwanza huwa vinapotea tu gafla
 
Hamna mwanamke mwenye ukamilifu wote kikubwa kama ana papuchi tamu we mpende tu usisikize watu wa jiefu
 
Je uzuri wa mwanamke ni sura au tabia?
ni vigezo gani vya kuhangalia kwa mwanamke anaye stahili kuolewa?

Je ni malezi ya familia ya mtoto wa kike
Au ni tabia za mtoto wa kike
Sura na maumbile, tabia huwezi kuzijua mpaka ifike miaka 15.
Chukua mwanamke kwa vitu unavyopenda kwa macho na utamu wa mbususu
 
Back
Top Bottom