CDE. SILAF JUMBE MAUFI, Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Rukwa ameanza ziara rasmi akiambatana na Wajumbe wa Kamati ya Siasa ya Mkoa wa Rukwa itakayohusisha Mikutano ya ndani na Mikutano ya hadhara kuanzia tarehe 02 - 06 Juni, 2025.
Ziara inalenga kukutana na Wajumbe wa Halmashauri Kuu za Kata...
MBUNGE EDWAR LEKAITA Aweka Msisitizo Maliasili na Utalii Kufanya Kazi kwa Karibu na WMA
Mbunge wa Jimbo la Kiteto Mkoa wa Manyara, Mhe. Edward Ole Lekaita wakati akichangia Hotuba ya Bajeti ya Wizara ya Maliasili na Utalii kwa mwaka mpya wq fedha 2024/2025 amesema WMA inasaidia wananchi...
MBUNGE SUMA FYANDOMO Alia na Barabara ya Mbeya, Ataka Mkandarasi Apewe Fedha kwa Wakati
"Nampongeza Waziri Bashungwa, anafanya kazi nzuri sana, anaitendea haki Wizara ya Ujenzi, endelea na moyo wako huo unaokutuma kufanya kazi za Watanzania, sina mashaka na wewe unafanya kazi kubwa sana...
MBUNGE SAASHISHA MAFUWE Aishauri Wizara ya Ujenzi Iwe na Mkakati wa Kudhibiti Barabara Zijengwe kwa Kiwango Kinachostahili Ili Kupunguza Matengenezo ya Mara kwa Mara
"Jumapili ya tarehe 26 Mei, 2024 nilikuwa na mkutano wa hadhara katika Kata ya Weruweru na wananchi wakaniambia Mhe. Mbunge kwa...
NAIBU WAZIRI MKUU BITEKO APONGEZA MIKAKATI YA KUINUA ELIMU DODOMA JIJI
- Ampongeza Mbunge Mavunde kwa ubunifu wa Teachers’ Breakfast Meeting
- Mbunge Mavunde agawa photocopiers kwa ajili ya uchapishaji wa mitihani
- Prof. Mkenda aanika mikakati ya serikali kwenye Elimu
- RC Senyamule aeleza...
SHEMSA MOHAMMED AMBAYE NI MLEZI WA TAMADUNI NA WAGANGA WA TIBA ASILIA NA MLEZI SUNGUSUNGU KANDA YA ZIWA WAGAWA ZAWADI KIASI CHA PESA MILION NANE ( 8,000,000/=) MBINA YA THELATHINI
Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Simiyu, Ndugu SHEMSA MOHAMMED ambaye ni Mlezi wa Utamaduni na Waganga wa Tiba asili Mkoa...
MHE. ZAINABU KATIMBA: MKANDARASI CRJE EAST AFRICA LTD KAMILISHA UJENZI WA BARABARA KWA WAKATI
NAIBU Waziri, Ofisi ya Rais - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Mhe. Zainab Athman Katimba amemuagiza Mkandarasi M/s CRJE East Africa LTD kuhakikisha anakamilisha ujenzi wa barabara...
"Taasisi ya Usimamizi wa Barabara (TANROAD) imekuwa na mafanikio makubwa lakini zipo changamoto ambazo lazima tufanye mapinduzi. TANROAD kwa takribani miaka 20 wameshindwa kujenga Barabara ya Korogwe - Handeni - Kilosa - Mikumi (B127) inayounganisha Mkoa wa Tanga na Morogoro" - Mhe. Kwagilwa...
"Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan imefanya mambo makubwa na kuzidi. Waziri Mkuu ulitembelea Mkoa wa Mbeya ikiwemo Halmashauri ya Busokelo, tunakushukuru sana. Lakini mojawapo ya changamoto nchini kumekuwepo na tatizo la kutolewa kwa hati za ardhi za kimila...
MBUNGE SANTIEL KIRUMBA Aitaka Serikali Kuiongezea ROAD FUND Bajeti ya Kutosha Ili Kuboresha Barabara (KM 71) Kongwe Nchini
"Nampongeza Mheshimiwa Rais kwa jinsi alivyoweza kununua mitambo ya kisasa ya TMA na kupelekea TANROAD kufanya kazi kwa ufasaha kipindi cha Elnino ilivyotokea nchini, la...
MBUNGE NICODEMAS MAGANGA Amesema Trilioni 1.7 ni Bajeti Ndogo kwa Wizara ya Ujenzi, Fedha Iongezwe
"Maeneo ya Kanda ya Ziwa tunayo changamoto, Barabara ni mbaya sana, nyingi ni za vumbi, Magari yanakata Chesesi kwasababu ya ubovu wa Barabara. Bajeti ya Trilioni 1.7 ni ndogo sana, Waziri wa...
Wizara ya Ujenzi inasema yafuatayo:
1. Matayarisho ya Manunuzi (kumpata Mkandarasi) yanakamilishwa. Barabara litajengwa kwa awamu mbili, kwa kuanza na km 40.
2. Randama (Kitabu cha Bajeti) kinasomeka hivi;
(2a) Ukurasa wa 116 unaorodhesha barabara hilo kwenye Bajeti ya Mwaka wa Fedha 2024/2025...
Kwa kauli moja Bunge limepitisha bajeti ya Wizara ya ujenzi ya Shilingi trilioni 1.77 kwa asilimia 100 ambayo inakwenda kutekeleza vipaumbele tisa kwenye miradi mbalimbali ikiwemo ujenzi wa barabara, madaraja, vivuko, mizani na ukamilishaji viwanja vikubwa vya ndege.
Jana Mei 29,2024 Waziri...
Bodi ya Mfuko wa Barabara imekusanya mapato kwa asilimia 77 ya mapato yote ya bajeti ya mwaka 2023/24.
Haya yamebainishwa bungeni na Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa wakati wa kuwasilisha makadirio ya mapato na matumizi kwa mwaka 2024/25.
Amesema katika mwaka wa fedha 2023/24, Bodi...
ampongeza Waziri, Naibu Waziri, Katibu Mkuu na kikosi kizima cha Wizara ya Ujenzi. Sote tumeona jinsi ambavyo Mvua zimeharibu miundombinu kwa mwaka huu lakini wamehangaika usiku na mchana kuhakikisha huduma zinarejea kwa wananchi, tunawapongeza sana na kuwatia moyo, tuna imani na matarajio...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.