Recent content by sinaham

  1. sinaham

    Barua kwa Rais Samia kuhusu kashfa za Balozi Mteule wa Rwanda nchini Tanzania, Jen. Patrick Nyamvuba

    Na kwa kuwa tayari wameshakuwa wengi nchini. Kagame ana jambo. Hapa namuona mkuu wa uhamiaji akikoroma usingiz wa Porno. Nahisi kabisa watu nimesoma nao wakapata na mkopo sio raia wanajifanya waha kutoka kigoma. Idara hii ifanye uchunguzi wa baadhi ya watz raia na viongoZi wakuu wa vitengo na...
  2. sinaham

    RIP Gadner G. Habash, ila wengi waliokuja kwenye msiba wako hawakuja kuomboleza, walikuja kutikisa ili wa-trend

    Msiba wa celebrity wewe umeenda kufanya nini..waacheni wenyewe. Wewe andika tu hapa RIP
  3. sinaham

    Mirathi ya Celebrities Bongo kizungumkuti

    Hivi maisha ya Hando yapoje
  4. sinaham

    Mitandao ya Tanzania ni ya hovyo mno, Tigo, Vodacom, Airtel internet ni takataka tu. Wanatuibia pesa zetu

    Kwa upande wa Tanzania sio Mitandao tu hata Bank loan wanaibia raia yaani nawaza kuhama nchi hii kwa muda hadi hali itakapotengemaa. Yaani viongozi ni kama mazombie yapoyapo tu. Kuna wkt nawaza hivi ?au ndio maana mange anawatukanaeee? Yaani waziri yupo tu
  5. sinaham

    Wajuzi wa michezo ya nje naomba ufafanuzi

    Mfia timu
  6. sinaham

    Car4Sale Discovery 4 inauzwa bei kitonga huku

    Kiuhalisia ingeuzwa bei gan
  7. sinaham

    Wajuzi wa michezo ya nje naomba ufafanuzi

    Nahisi sio kweli kuwa zitashuka. Wewe ungekuwa kocha wa Tim inayoshuka dakika hizi ungefanyeje. Maana kuna game za kufa na kuponam mfano Bailey akipambana live or die atapita......? Huyu jamaa anaitwa Vincent kompany ni man City mfia derby
  8. sinaham

    Wajuzi wa michezo ya nje naomba ufafanuzi

    Mimi si mshabiki wa mno Bali nimetokea kufanya tathmini kiduchu ila hii inanichanganya. Hizi timu zinazopambania kuepuka kushuka daraja ligi kuu ya uingereza. Zinapigapiganaje hapa. Kati aya hizi nne au tano. Ni kama hizo. H Kwa mfano Bailey ammkomalia...
  9. sinaham

    Naomba kueleweshwa kuhusu online loan apps

    Sijui kwa nn hujajibiwa mkuu
  10. sinaham

    Fanya hivi usipofanikiwa niite mbwa nimekaa pale

    Watoto yatima na maskini tunawaona bado tunadanganyana kutoa fungu la nyoko. Range wanazoendesha ndio fungu la kumi. Nina mate tumemaliza wote chuo kikuu kwa sasa wanamiliki makanisa ya uswahikini. Yaani huu ni uhuni. Wameomba mkopo board wakasomeshwa sasa wanakwenda kudanganya raia
Back
Top Bottom