Na kwa kuwa tayari wameshakuwa wengi nchini. Kagame ana jambo.
Hapa namuona mkuu wa uhamiaji akikoroma usingiz wa Porno.
Nahisi kabisa watu nimesoma nao wakapata na mkopo sio raia wanajifanya waha kutoka kigoma.
Idara hii ifanye uchunguzi wa baadhi ya watz raia na viongoZi wakuu wa vitengo na...
Kwa upande wa Tanzania sio Mitandao tu hata Bank loan wanaibia raia yaani nawaza kuhama nchi hii kwa muda hadi hali itakapotengemaa. Yaani viongozi ni kama mazombie yapoyapo tu.
Kuna wkt nawaza hivi ?au ndio maana mange anawatukanaeee? Yaani waziri yupo tu
Nahisi sio kweli kuwa zitashuka. Wewe ungekuwa kocha wa Tim inayoshuka dakika hizi ungefanyeje.
Maana kuna game za kufa na kuponam mfano Bailey akipambana live or die atapita......?
Huyu jamaa anaitwa Vincent kompany ni man City mfia derby
Mimi si mshabiki wa mno
Bali nimetokea kufanya tathmini kiduchu ila hii inanichanganya.
Hizi timu zinazopambania kuepuka kushuka daraja ligi kuu ya uingereza. Zinapigapiganaje hapa. Kati aya hizi nne au tano.
Ni kama hizo. H
Kwa mfano Bailey ammkomalia...
Watoto yatima na maskini tunawaona bado tunadanganyana kutoa fungu la nyoko.
Range wanazoendesha ndio fungu la kumi.
Nina mate tumemaliza wote chuo kikuu kwa sasa wanamiliki makanisa ya uswahikini. Yaani huu ni uhuni. Wameomba mkopo board wakasomeshwa sasa wanakwenda kudanganya raia
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.