Lusajo11
JF-Expert Member
- Dec 13, 2014
- 1,887
- 1,963
Ila mkuu mimi naona ubaguzi wa kidini upo pande zote mbili, wakristo na waisilamu wote wanabaguana tu
Wapo wakristo wanao wabagua waisilamu na hawako radhi kushirikiana nao au kuwaajiri na wapo pia waisilamu wanaowabagua wakristo hivyo hivyo, haya nimeyashuhudia mimi mwenyewe
Hta nchi zenye waisilamu na wakristo wakawa ni minority, ile minority ya wakristo huwa wanakuwa na wakati mgumu sana kutokana na kutoendana kiimani nao hivyo kubaguliwa, ila natumaini haya yataondoka kabisa siku moja
Mfano ni Zanzibar, kanisa la kwanza la Katoliki limejengwa huko na wakristo wazawa wa Zanzaba bado wapo lakini kuna wakristo wangapi kwenye Cabinet?. Hata wa kuteuliwa na President tu! Au huwa wanakataa??!!