Zipo scholarship hadi wenye miaka 30-33

Wakilimkuu

Member
Apr 15, 2024
81
83
Habari ya sasa hizi wakuu, ni matumaini yangu mpo wazima kabisa. Naomba kuuliza wakuu hivi zipo scholarship hadi wenye miaka 30-33
 
Zipo nyingi sana hadi wenye age 35 kwa wanume, na pia zaidi ya hapo. Ila hizo ndozo common kwa level ya masters.
 
Back
Top Bottom