Think Machines
Senior Member
- Jan 26, 2023
- 129
- 175
- Thread starter
- #41
Nalifanyia kazi mkuuIngependeza uwe unaweka na Bei kabisa....otherwise uko vizuri.
Nalifanyia kazi mkuuIngependeza uwe unaweka na Bei kabisa....otherwise uko vizuri.
Hiii spray gun yakampuni ganiHii ni spray gun kwa ajili ya vijana ambao wana vipaji vya kuchora au kupaka rangiView attachment 2622737
Kuna hichi kitu au haya maneno yakiwa kwenye mashine huwa yanamaanisha nn3000 PSI-250 Bar
Theoretical flow rate ni niniEDON HP1010-1.8A
Max pressure-10mPa
Working pressure-(8-10mPa)
Theoretical flow rate-10l/min
Rate speed nayo ni ninipower 7.5 HP
Rated speed 3400RPM
Ipo mkuu , CUT 100 bei 2,200,000Plasma cutter angalau 25mm,ipo?bei gani?View attachment 2731652
Hujui kitu , kafanye utafiti mtaani ni mashine gani zinatumika sana , utapata jibuUkishaona machne n made in china kaa chonjoo
Hii kampuni ya EDONHiii spray gun yakampuni gani
Rated speed ni pre calibrated speed ya mashine ambayo ime setiwa baada ya kuwa manufacturedKuna hichi kitu au haya maneno yakiwa kwenye mashine huwa yanamaanisha nn
Theoretical flow rate ni nini
Rate speed nayo ni nini
Theoretical flow rate imekuwa computed kutoka kwenye formula unaweza kuiita apparent wakati actual flow rate ni ile ambayo unaipata on site while machine is working hii unaweza kuiita RealKuna hichi kitu au haya maneno yakiwa kwenye mashine huwa yanamaanisha nn
Theoretical flow rate ni nini
Rate speed nayo ni nini
Hii ni bei gani bossHii ni cordless drill kwa ajili ya vijana ambao wamejiajiri kwenye utengenezaji na ufaungaji mabango hapa mjini inafaa sana na inapunguza usumbufu au kurahisisha kazi ..ipende kazi yakoView attachment 2622739