Zanzibar ipewe kipaumbele kwenye miundombinu

Zanzibar ndio lango la utalii nchini. Nashauri pesa nyingi ipelekwe huko kuendeleza miundo mbinu ya barabara, airport na hotel
Zanzibar Revenue Aurhority wanakusanya pesa za kutosha kwa minajili hiyo. Za RRA acha zibaki Bara na hazitoshi.
 
Utalii bara unaingiza kiasi gani?

Zanzibar unaiingiza kiasi gani?

KWA huku bara data mnawezatenganisha mf Serengeti kivyake,Ngorongoro kivyake, kilimanjaro kivyake
 
Zanzibar ndio lango la utalii nchini. Nashauri pesa nyingi ipelekwe huko kuendeleza miundo mbinu ya barabara, airport na hotel
Ni hoja nzuri sana Mkuu ila ZRB inakusanya mapato chini ya Kamishna Mkuu Mh Yusuph Juma Mwenda, je mapato yao yanaenda wapi?! Huku Bara tuna TRA chini ya Mh. Alphayo Kidata, pesa zetu ndo zinakwenda kujenga bwawa la Nyerere, bwawa ambalo ndo linatoa na umeme kwa Wazanzibari. Pia pesa zetu ndo zinatumika kwenye kupunguza na deni ya taifa kupitia Benki Kuu. Mapato ya Forodhani Gardens Night Market yanatumikaje ndani ya Tanganyika? au mapato ya Kilimo cha Mwani yanawanufaisha vipi Tabora?!
Ni vyema ungeleta andiko kuhusu mapato ya ZRB yanatumikaje kuleta maendeleo ya Zanzibar hususani kwenye barabara za Stone Town. Je mapato ya Hoteli zilizopo Zanzibar zinafaidisha vipi watu waliopo Katavi huko?! Andika vizuri na uhoji kuhusu ZRB na maendeleo ya Zanzibar.​
 
Back
Top Bottom