Yusuf Bakhresa pokea simu ya Mudathir kabla mambo hayajazidi kuwa mabaya

Mama yangu mzazi ndio mama yako mzazi. Au hizi ID ndio zinakufanya ujiamini kiasi kwamba uone kama hauna ndugu humu JF? Mtu anayetukana wazazi huwa ana uwezo mdogo sana wa kufikiria.
sasa mimi na wewe nan ana uwezo mdogo wa kufikiri? Wewe si ndo umeanza kuniita mwehu? Mbona unakuwa mpumbavu hivyo?
 
Simu ya Mudathir imezua balaa.

Ila mimi nawashangaa wanaosema anaipigia familia yake, hivi kwa akili zenu kabisa mlidhani atasema ukweli anampigia huyo Yusuph au Try Again?

Hiyo simu ni fumbo, na kwa kusoma body language yake wakati anaipiga sio simu ya familia ile. Huwa anaipiga kishari sana.
Nje ya mada.
Nifah uko vizuri sana hapo kichwani. Kila nisomapo comments zako huwa ninajisemea moyoni..mmeo anamiliki dhahabu kama anajua namna ya kwenda na wewe.👍
 
LEO HII NADHANI WANAJILAUMU SANA WALIYEMUONA HAFAI SASA ANAWAFAA YOUNG AFRICANS, ANAKWENDA KUCHEZA ROBO FAINALI IKIWEZEKANA MPAKA FAINALI.
 
sasa mimi na wewe nan ana uwezo mdogo wa kufikiri? Wewe si ndo umeanza kuniita mwehu? Mbona unakuwa mpumbavu hivyo?
Pitia post namba 39 halafu nioneshe mimi nilikutusi wapi. Kama sio mpumbavu ni wewe unayekimbilia matusi
 
Hakuna kitu naumia km huyu kutoka pale Etihad, nampenda huyu kaka jamaniiii.
😃Amishia mapenzi kwa Doku
14bfa6bb14875e45bba028a21ed38046-1693677529.jpg
 
Back
Top Bottom