Kabisaa mkuu, tusiwe wavivu wa kupokea simuAnatufundisha tujitahidi kupokea simu
Kwahiyo ulitegemea angesema awanawapigia viongozi wa Azam?Mbona yeye alisema kuwa anapigia familia yake huwa anawaambia Leo nichekini kwa umakini nitafunga kabla ya kutoka ?
Sio tu umri hata akili ya kujiongeza hanaUlitaka aseme nawapigia Azam? Una umri gani wewe?
Mkuu ile ni aina yake ya kushangilia, sio kwamba huwa anapiga simu kweli. Sio ajabu hata akirudi Azam akaamua kushangilia hivyo hivyo. Kila mchezaji ana staili yake ya kushangilia na sababu zake au anachomaanisha. Japo inaweza zingine zisiwe na maana wala sababu.Sasa anampigia ili nini? Anamdai? Kama hamdai na yupo Yanga amesettle si atulie tu aendelee na mambo yake? Afterall ameshafikisha ujumbe kama ni kweli walimfanyia hivyo. Sasa ataendelea kuwapigia hadi lini?
Pia, dunia ni mzunguko. Mkataba unaweza kumalizika Yanga na siku moja Wakakutana na Yusuph kitaa na wakasaidiana nje ya mpira na kwa kuwa wote ni Wazenj, they may cross the path again hata kama sio kwenye mpira. Hamnaga permanent status. Sio kwamba hapo Yanga amefika, ajifunze kusamehe pia.
Hoja yangu haijabase kwenye kusema tu bali msingi wake ni uhakika wa habari yaani chanzo ,maana himwingine anaweza kusema hapo anaisema Simba na Mangungu walimpuuza.Kwahiyo ulitegemea angesema awanawapigia viongozi wa Azam?
Ninafahamu hapigi simu kweli, point yangu ni kwamba inasemekana anashangilia vile kutuma ujumbe kwa waliomfanyia hivyo, ndio nikasema kama anafanya hivyo kweli maana yake bado ana kisasi au chuki moyoni na kama hivyo ndivyo basi ndio maana nimeandika hivyo.Mkuu ile ni aina yake ya kushangilia, sio kwamba huwa anapiga simu kweli. Sio ajabu hata akirudi Azam akaamua kushangilia hivyo hivyo. Kila mchezaji ana staili yake ya kushangilia na sababu zake au anachomaanisha. Japo inaweza zingine zisiwe na maana wala sababu.
umetishaSimu ya Mudathir imezua balaa.
Ila mimi nawashangaa wanaosema anaipigia familia yake, hivi kwa akili zenu kabisa mlidhani atasema ukweli anampigia huyo Yusuph au Try Again?
Hiyo simu ni fumbo, na kwa kusoma body language yake wakati anaipiga sio simu ya familia ile. Huwa anaipiga kishari sana.
sasa kama hana mtu wa kumkumbatia? Mwache aenjoyiUmeshaamka mapema hii.
alipokuwa Azam alikuwa anashangalia kwa kupiga simu?Mkuu ile ni aina yake ya kushangilia, sio kwamba huwa anapiga simu kweli. Sio ajabu hata akirudi Azam akaamua kushangilia hivyo hivyo. Kila mchezaji ana staili yake ya kushangilia na sababu zake au anachomaanisha. Japo inaweza zingine zisiwe na maana wala sababu.
You said it all.Simu ya Mudathir imezua balaa.
Ila mimi nawashangaa wanaosema anaipigia familia yake, hivi kwa akili zenu kabisa mlidhani atasema ukweli anampigia huyo Yusuph au Try Again?
Hiyo simu ni fumbo, na kwa kusoma body language yake wakati anaipiga sio simu ya familia ile. Huwa anaipiga kishari sana.
Kwani kubadilisha ushangiliaji ni kosa? Anavyoshangilia kupiga simu kuna kosa gani la kinidhamu? Mwacheni mtu nafsi yake itulie kwa kufanya anachokipenda. Yaani hadi shangilia ya mtu mnataka kuichambua dah watanzania kwa ujuaji tupo level ya juu sana.alipokuwa Azam alikuwa anashangalia kwa kupiga simu?
amen.YOTE YA YOTE YESU KRISTO NI BWANA NA MWOKOZI WA KILA MWANADAM
wacha ujinga kila kitu kina maana.Kwani kubadilisha ushangiliaji ni kosa? Anavyoshangilia kupiga simu kuna kosa gani la kinidhamu? Mwacheni mtu nafsi yake itulie kwa kufanya anachokipenda. Yaani hadi shangilia ya mtu mnataka kuichambua dah watanzania kwa ujuaji tupo level ya juu sana.
Sasa kama hilo unalijua kwanini uliuliza kama alikuwa anashangilia hivyo Azam ili iweje? Acha kuwapangia watu furaha zao nwehu wewewacha ujinga kila kitu kina maana.
Mudhathir anashangilia kwa kupiga simu sababu anawasiliana na Mke na watoto wake sababu muda mwingi anashinda kambini hivyo hayupo karibu na familia yake .