Yule mwanamke mzuri aliyeumbika, nyumba, gari, mashamba na biashara unayo kama ulivyopanga?

proton pump

JF-Expert Member
Apr 30, 2017
5,606
7,357
Maisha mengi tuliyonayo yalianza kama picha inayojengeka akilini. Hakuna mwanadamu asiyependa vitu vizuri.

Ushindani na matamanio ya mwanadamu yanazua mambo mengi. Pale unajaribu hili na lile ili kupata vizuri halafu ukavikosa ndipo akili inapoanza kuchanganyikiwa.

Zipo nyuzi nyingi za kukata tamaa. Hawa ndio walio tuandikia kupitia jukwaani, je wale walioshindwa ni wangapi?

Ikifika mahali acha ushindani ili kuepuka shida ya kiafya na kiroho pia. Kila mtu ana namna yake alivyo.....wengine koneksheni, wengine wizi, wengine bahati japo ni wachache sana, wengine urithi.

Ewe mtu uliyepewa oksijeni ya bure ๐”๐ฌ๐ข๐ฌ๐ก๐ข๐ค๐ฐ๐ž ๐ฌ๐จ๐ง๐จ๐ง๐š ๐š๐ฎ ๐ค๐ฎ๐ฃ๐ข๐ฎ๐š ๐ค๐ข๐ฌ๐š ๐ฆ๐š๐ฉ๐ž๐ง๐ณ๐ข ๐š๐ฎ ๐ฎ๐ ๐ฎ๐ฆ๐ฎ ๐ฐ๐š ๐ฆ๐š๐ข๐ฌ๐ก๐š.

watu wengi hasa vijana kwa sasa hatuna amani vichwani mwetu kisa kikuu kikiwa ugumu wa maisha na mapenzi, ambapo ubongo ukizidiwa unaupa moyo shida ndio unaanza kupata magonjwa ya ajabu ajabu presha, sonona, msongo n.k

Matukio ya mauaji, ulawiti, ubakaji ni mengi sana kisa vichwa vimevurugwa watu hawaogopi wanaona liwalo na liwe.

Sina uhakika sana kati ya mwanaume na mwanamke ni yupi anayeteseka sana dunia ya utafutaji na mapenzi, ๐ฅ๐š๐ค๐ข๐ง๐ข ๐ฐ๐š๐ง๐š๐ฐ๐š๐ฎ๐ฆ๐ž ๐ฐ๐š๐ฆ๐ž๐ฌ๐š๐ก๐š๐ฎ ๐ค๐ฐ๐š ๐ฎ๐ฅ๐ข๐ฆ๐ฐ๐ž๐ง๐ ๐ฎ ๐ฐ๐š ๐ฌ๐š๐ฌ๐š ๐ฌ๐ข๐ฌ๐ข ๐ง๐ข ๐๐ก๐š๐ก๐š๐›๐ฎ ๐ค๐ฐ๐š ๐ฌ๐š๐›๐š๐›๐ฎ ๐ก๐ฎ๐ž๐ง๐๐š ๐ค๐ข๐ฎ๐ฆ๐›๐ž ๐ก๐ข๐ค๐ข ๐ค๐ข๐ค๐š๐ฉ๐จ๐ญ๐ž๐š ๐ค๐ฐ๐š ๐ค๐š๐ฌ๐ข hadi kuja kushtuka dunia itabaki kutafutwa kwa bunduki na kutekwa na wanawake kwa sababu uadimu wetu.

Wanawake saba watamng'ang'ania mwanaume mmoja wakitamani kuitwa kwa jina lake. Wenye bible tafuteni nimesahau kifungu.
 
Back
Top Bottom