Dawa imemwingia kigwangwala
Kuna ukweli umejificha kwenye muungano ccm hawataki ujulikane,Lissu kaweka kila kitu wazi,hakuna hati ya muungano ndani ya Tanzania wala Umoja wa mataifa.Jamani watanzania inabidi tuamke kwanini wamekata wakati Tundu Lisu anahutubia??? Ni kwanini tunazibwa maskio kuskia upande mwingine???? Kwanini tunatakiwa tuskilize upande mmoja tuu??? Nimeskitika sana. Kama ni halali tuachwe tuskilizebpande zote jamani
Tbc wamekata wameweka Frola Mbasha. Akimaliza Lissu watarudisha ha ha ha!
2saidien atakaye pata hotuba full ya Lisu mzee wa vi2 adimu, plz ailete hapa 2ongeze material jaman! Tbc hawatendi haki
Asanten TBC sasa tunaona matunda ya kodi zetu live bila chenga!
Yan hii ni television ya ki.pu.mba.vu cjawah ona toka nimezaliwa!!!
Tbc aibu tupu,ingawa wamekata hotuba ya Lissu lakini ukweli utajulikana tu!wamezoea vya kunyonga,vya kuchinja hawaviwezi.tunaomba mwenye hotuba yote ya Lisu atuwekee hapa!