Wow Mr President atembelea klabu ya Sunderland ya Uingereza

JK kapendeza sana hapo London
Ila nchi ndiyo milipuko kila uchao.
 
8E9U4121.JPG


hapa atakuwa anawasalimia watoto wa kizungu....
"How are you my children......"
 
Akitoka hapo mwambieni aende south africa kwenye BIG BROTHER

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
ama kweli wakubwa wanafaidi...huyu ndio JK bhana.mnao fanya follow up ya safari zake za nje hii ni ya ngapi?
 
Kwa nn hawajatuambia rais amehailisha safari ya U.K kwa sababu ya mlipuko.
 
Back
Top Bottom