WOMENS DAY (MMU): Wanawake asili yenu ni roho ya huruma na kujali. Siku hii iwakumbushe kurudia asili yenu ya huruma na kujali hasa kwa wapenzi wenu

Jichanganye upigwe na kitu kizito!...wanawake wa sasa ni mwendo maokoto,they care nothing about humanity hasa hasa hiki kizazi cha 2000s ni hatari!Ila ukiwa na misimbazi lukuki kidogo ataficha makucha tofaut na ukiwa chokambaya
 
Hii siku ni ya hovyo na haina umuhimu wowote zaidi ya kukipigia debe kiumbe dhaifu kuliko vyote duniani maarifu kama muanamuuuukeee, ni bora hata sikukuu ya wajinga kuliko hii siku.....wote wanosherehekea nakua na mashaka na uwezo wao wa kufikiri.
 
What I know is...... The beauty of a woman is not in the clothes she wears, the figure that she carries, or the way she combs her hair. The beauty of a woman is seen in her eyes because that is the doorway to her heart, the place where love resides...😊
 
Sifa kuu ya mwanaume ni kuhudumia.

Wanaume ebu rudini kwenye majukumu yenu...acheni kuwaumiza wanawake muone ni kwa namna gani tunawapenda, kuwajali na kuwahurumia.
Madame..... naw days, woman's heart is a deep ocean of secret. That's why this new generations boys are keep runing away.....😜
 
Hamna lolote....wanawake wa sasa wametengenezwa na aina ya wanaume walioko....mioyo yao imejeruhiwa vya kutosha ndo mana wamegeuka kuwa zaidi ya shetani
Unavyosema wanawake wa sasa wamejeruhiwa, wamejeruhiwa vip ?

Kwa sababu sasa mnadai mwanamke kajikomboa kutoka kwenye utumwa na ukatili wa wanaume kwa kipndi cha nyuma.

Sasa wanawake wanapambana sawa na wanaume nyanja ya kiuchumi ,kisiasa na elimu.

Sasa unaposema wanawake wa sasa wamejeruhiwa sijui unamaanisha nini na wakati ni jana tu tuliwaoana mnatamba na kufurahia mafanikio na furaha yenu!!!
 
Hamna lolote....wanawake wa sasa wametengenezwa na aina ya wanaume walioko....mioyo yao imejeruhiwa vya kutosha ndo mana wamegeuka kuwa zaidi ya shetani
No sweetheart...... naw days a beautiful woman is one with a beautiful heart. She may be covered with mud or sores but only her foot fit the glass slipper....😊
 
Kwa mfano,
kwenye daladala muwe na huruma kwa wanawake wezenu mathalani waja wazito, ama wenye watoto.

Unakuta muMama kabeba kitoto labda kutokana na hali ya hewa mule ndani ya daladala, unakuta katoto kanalia sana hadi huruma, na wewe umesimama huna msaada, lakini muMama kwenye siti anang'ata meno asitajwe au kuombwa aachie siti, anajidai kasinzia haskii kilio cha mtoto eti au yuko na concentration muhimu sana Instagram
 
Ila siku hizi unatoka kwenye mizunguko unafika nyumbani mara mwanamke anataka ww ndo uanze kumbembeleza, chakula unakuta vilivyobaki mchana unachemshiwa tu kisha unatupiwa mezani, na maudhi mengi tu yanafuatia.
Umegonga penyewe mzee, sio tu kuchemshiwa kiporo cha mchana maana hata icho kiporo cha mchana unaweza usikikute ni unaambiwa ujipikie kabisa😁, Hatari sana.
 
Back
Top Bottom