News Alert: Whatsapp gan inavutia zaid(kuwa na option na uwanja mpana zaid)

emboaba

Senior Member
Oct 5, 2014
143
117
kwema humu wakuu..

najua weng wetu tunatumia cm janja na apps nyng nyng.. nlkuwa mm
 
waiwekee auto-update, kile kiji pop-up cha update kila mara ni kero yani
 
Mimi natumia hii official version ambayo ipo playstore..
Hii GB whatsapp hapana iisèeh maana unakita mtu anaficha last seen kama vile kuna kitu special kuhusu last seen au mtu anaficha blue tick kama vile kuna tuzo zinagawiwa wakati wakina chenge wako busy kuficha pesa zetu walizoiba

Sent using Jamii Forums mobile app
Level uliyofika kufikiria ndio nipo mimi. Ukishakuwa mwanaume kuwa mwanaume, GB Whatsapp iko kimbea mbea sana. Hata mtu akiiona kwa simu yako anapoteza uaminifu kidogo. Yote ya nini hayo.

Sent using BlackBerry Z10 Jamii Forums mobile app
 
Whatsap GB ina options nyingi hadi ww mwenyewe utafurahi
Tatizo hii inasumbua Back-Up kwenye Drive, haina tuseme tu!

Na wengine kuishi bila kuwa na Back-up ya conversations za nyuma ni hatari sana....

Ila mwisho wa siku sidhani kama ni sahihi mwanaume uliyepevuka kutumia GB Whatsapp inapunguza kuaminiwa na jinsia Ke

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi natumia hii official version ambayo ipo playstore..
Hii GB whatsapp hapana iisèeh maana unakuta mtu anaficha last seen kama vile kuna kitu special kuhusu last seen au mtu anaficha blue tick kama vile kuna tuzo zinagawiwa wakati wakina chenge wako busy kuficha pesa zetu walizoiba

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa sisi tunaofanya biashara hiyo GB haitufai hata kidogo, hiyo ni kwa wachepuka na wale matapeli tapeli.
 
Mimi natumia hii official version ambayo ipo playstore..
Hii GB whatsapp hapana iisèeh maana unakuta mtu anaficha last seen kama vile kuna kitu special kuhusu last seen au mtu anaficha blue tick kama vile kuna tuzo zinagawiwa wakati wakina chenge wako busy kuficha pesa zetu walizoiba

Sent using Jamii Forums mobile app
GB WhatsApp imekaa kikekike kama Instagram na snap chat, wanaume tunatumia official, iyo GB WhatsApp mapambo kibao personalization tumewaachia wadada wafanye make up hadi conversation
 
Mwandishi kaomba msaada sup gani ni nzurinaona badala ya kumjibu mna ishia kuchamba tu comment ya mwezenu

Kama ulivyo taka ...Kwa whatsup yenye uwanja mpana sana ni whatsup GB. kwa kua na technic nyingi ayo mengne waliyo sema si uke na umee niya ziada .kulingana na mtu na simu yake tu then zinafata izo sup zingine


All in all saivi kuna whatsup nyingi sana naona chagua tu uipendayo zote ni whatsup

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom