Mnakaa online kupiga makelele lakini hatuoni mnachochangia kwenye maendeleo ya taifa.
Maendeleo sio kuweka mapicha facebook na michuzo blog mko kwenye ma bash na matumbo makubwa.Maendeleo yako wapi taifani
Mbona mapovu yanawatoka? mnataka mchango gani toka kwao? ...waulizeni ndg zao wanavyonufaika sio kuja hapa na kupunguza stress zako kwa mabandiko yasiyo na maana.....kufanya kazi kwa bidii utafanikiwa bila hata kuhitaji msaada wa walio nje
Africa is too general mkuu,soutth wanatengeneza magari sisi tuna kiwanda hata cha ball joint????
Tanzania ndo issue ya thread hii,go back to your drawing table!!!!
Kuwa na huruma dada,wengi wa hao watu wanaishi maisha magumu sana uko,kumbuka hata wao walikimbia ukata tunaokabiliana nao hapa,ni bora tukaanza kufikiria kuwa tunawatumia japo unga na dagaa.
katika hao waafrika wapo watanzania wengi tu....labda hujaelewa hio article....u should go back and read may be u'll understand why i posted it
katika hao waafrika wapo watanzania wengi tu....labda hujaelewa hio article....u should go back and read may be u'll understand why i posted it
Para ya ngapi chini ya subheading ipi mkuu kuna Tanzanian specific prong????!!!
only Saudi,Ghana and Rwanda featured out though from the very back door
Mnakaa online kupiga makelele lakini hatuoni mnachochangia kwenye maendeleo ya taifa.
Maendeleo sio kuweka mapicha facebook na michuzo blog mko kwenye ma bash na matumbo makubwa.Maendeleo yako wapi taifani
so do you really think when they say africans they didnt include tanzanians??do u think tanzanians dont send money home??that article is about how africans send more money home than AID fro donors,and when they say africans they include tanzanians.....remittance is more effective than aids from donors.
Mbona mapovu yanawatoka? mnataka mchango gani toka kwao? ...waulizeni ndg zao wanavyonufaika sio kuja hapa na kupunguza stress zako kwa mabandiko yasiyo na maana.....kufanya kazi kwa bidii utafanikiwa bila hata kuhitaji msaada wa walio nje
saudi is not africa....do u really think ghana and rwanda can remitt more than donors???
African Diaspora Remittances are Better than Foreign Aid Funds - ModernGhana.com
Jibu hojacalm down babe!!
jina ulotumia tuu inaonesha jinsi unavopenda kwenda ughaibuni ila ndo ivo visa wamebana.
Taifa ni nani hasa?
Na kuweka picha fb ama blogs ni dhambi?je walio Tanzania hawaweki picha?je wanamchango gani kwa taifa na je hao diaspora wanatakiwa wachangiaje?
Jibu hoja