Wezi wa zamani walikuwa wanaweka na anwani zao kabisa

Heci

JF-Expert Member
Aug 14, 2016
3,492
5,830
1713426060628.jpg


Wezi wa kazi za wasanii wa zamani walikua majahiri sana , wanaweka Hadi anwani 😂🤣
 
Walikuwa na connection kubwa na vyombo vya dola, hivyo kuna mgawo vigogo walikuwa wanapewa.

Pia inasadikika IGP mario alikuwa anapewa mzigo ulionona toka kwa majambazi.
Hujaelewa mada hata kidogo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom