#COVID19 Wenye damu group O ni kweli Corona haiwasumbui?

Leo nimesikia watu wenye damu group o hawasumbuliwi sana na Corona.Ivi damu group hili ina nn special, mambo mengi nasikia wenye group wanapeta ata magonjwa ya kawaida.

tunahitaji ushahidi tu kujiridhisha. kwa maoni ya jumla ni kwamba grup hili halisumbuliwi na vimagonjwa vidogovidogo. lakini kumbuka kuna vigezo vingi vinavyopelekea UVIKO kukumaliza. suala si kuwa na damu O pekee, vipi afya yako kabla ya kukutana na UVIKO? Unaweza kuta ushajichokea na kisukari ama ngoma yako kitaambo, kisha ujigambe una grup O mbele ya UVIKO....UNAJIDANGANYA
 
Hapa tumeongelea kwa mtu mwenye afya njema out of magonjwa sugu kama sukari,pumu na ukimwi.

Back
Top Bottom