Filosofia ya Rorya
JF-Expert Member
- Sep 20, 2021
- 3,213
- 3,594
Hio D.O ndio nini ? Unatuumiza ubongo
Hio D.O ndio nini ? Unatuumiza ubongo
Ufafanuzi mkuu😁😁Ya kwangu hii
"Njiaya chooni haioti nyasi"
Inafanana na ya mhenga Mzee wetu Reginald Mengi...
Nimekisoma pia ila nataka kukirudia, kitabu kizuri sanaHiki kitabu nimekisoma kama mara mbili ila nataka niendelee kukisoma zaidi,na nataka niwafundishe wanangu nondo za hiki kitabu.