Weka jina la academy ya michezo unayoifahamu ya hapa nchini

Braza Kede

JF-Expert Member
Nov 1, 2012
1,867
3,586
Ni hii michezo ya watoto wadogo

Si vibaya ukataja academy, location na michezo yao mfano kuogelea, tennis, football, ndondi, sarakasi, muziki, kuimba, mbio, miruko n.k.
 
Hivi ili kuitwa academy, umri wa wachezaji unatakiwa usivuke miaka mingapi?
Nadhani hakuna ukomo wa umri, mfano kule ulaya kuna mashindano ya timu za vijana hadi U23 ambayo huwa kuna wachezaji wenye umri baadhi zaidi ya miaka 23.

Kuna wachezaji huwa akiumia au kushuka kiwango bila kujalisha umri huwa anashushwa kwenye timu za vijana.

NB. Kuna umri ukiufikia kama hauna kiwango kinachoeleweka huwa unatimliwa ukafanye kazi nyingine, pia ikumbukwe ni 4% au pungufu ya hapo ya vijana waliopita kwenye academy huwa wanabahatika kuendelea mbele.
 
upo sahihi

maisha ya hii michezo sio rahisi kama wengi wanavyofikiria

michezo ina mkwanja mrefu sana ila sasa wanaofikia ayo mafanikio ni wachache sana

vijana wengi wanakwama njiani uku wakishuhudia wenzao wachache wakienda kupata mpunga mrefu sana kwenye ligi kubwa mbalimbali

hawa waliokwama wasipopata mkono wa kuwashika wanaishia kuingia kwenye sonona kali sana na wengine hata uamua kujimaliza wenyewe
 
  • Thanks
Reactions: K11
Back
Top Bottom