SoC03 Namna gani sekta ya michezo iwe, kukuza na kundeleza michezo

Stories of Change - 2023 Competition

issaka

Member
Jun 24, 2023
12
16
Sekta ya michezo ni miongoni wa sekta mbalimbali za serikali, ambapo hii sekta inajihusisha na masuala ya kukuza na kuendeleza michezo Tanzania, mfano mpira wa miguu, mpira wa mikono, ghofu, mchezo wa ngumi au masumbwi, kuogelea, riadha n.k.

Tanzania katika kuhakisha ukuaji wa michezo serikali imeunda wizara ya utamaduni, sanaa na michezo katika kuhakikisha kuwa michezo inakua nchini Tanzania. Namna ambavyo sekta hii imekuwa ikiendeshwa imekuwa na mafanikio pia na changamoto katika uendeshaji wa michezo mbalimbali.

Kwa namna moja au nyingine serikali imekuwa bega kwa bega katika kutoa mchango wake katika kuendeleza michezo mfano mchango wa kifedha, kutoa ndege kwa ajili ya usafiri wa timu, ushauri pia sheria za kuwndesha michezo mfano, UMITASHUMTA, UMISETA n.k ambapo serikali inatoa maelekezo juu ya uendeshaji wa haya mashindano kwa shule za msingi na shule za sekondari.

Ila cha kushangaza na kujiuliza hivi mwisho wa wanafunzi wanaofanya vizuri kwenye michezo UMISETA au UMITASHUMTA ni upi? na nani anawaendeleza baada ya mashindano kuisha? kwangu mimi naweza kusema kuwa serikali bado haijaweka sera nzuri za kuwasaidia hawa vijana, pendekezo langu kwa hili swala kuwepo na shule ambazo shughuli zake ni michezo tu pasi na kuchanganya na masomo mengine hii, itasaidia kuwa na vipaji vingi katika suala zima la michezo au kama si hivyo michezo iwe miongoni mwa masomo katika ngazi mbalimbali za masomo.

Nimeshiriki katika haya mashindano wakati nilipokuwa shule ya msingi na sekondari lakini uendeshaji wake unachangamoto nyingi utasikia mwanafunzi karudishwa shuleni mfano wapo ngazi ya wilaya au mkoa, kwanini utasikia eti ana mtihani wa pre mock au mtihani wa ndani, kwa hili suala michezo haiwezi kufika mbali na kutengeneza wachezaji kama akina sammatta, wanamasumbwi mfano Mwakinyo wengineo hapa Tanzania.

Ni jambo zuri ambalo serikali inafanya kutoa hamasa kwa wachezaji mfano kuwapa viwanja au kuwapa pesa kwa kila goli au kutoka hatua moja ya mashindano kwenda hatua nyingine ya mashindano, hivi kwanini hizo pesa zisitumike kutengeneza academy na hivyo viwanja? ni suala ambalo naona kabisa linawezekana kabisa kuliko serikali kutoa hiyo ela kwa mchezaji wa kigeni, we jiulize ipi kesho yetu? baada ya samatha au Msuva, mfano mzuri ile mechi iliyopita ya taifa changamoto kwa eneo la golikipa hatuna, au waliopo hawakidhi vigezo na ubora kwenye hayo mashindano.

Ila sasa hatua zipi zinachukuliwa kumaliza hili tatizo? na si kwamba wachezaji hawapo, wapo. Labda tuwe na academy ambayo itaitwa Tanzania sports national academy itasaidia katika kukuza vipaji vya wanamichezo mbalimbali mfano katika soka.

Wakati mwingine katika kukua kwangu, ukisikiliza Maisha mbalimbali ya wanasoka au wanamichezo waliofanikiwa utasikia kuwa familia yake hakutaka acheze mpira, ila familia yake ilimtaka kusoma na si kucheza mpira, hii imekuwa kasumba katika familia nyingi kutokutoa ruhusa kwa vijana kushiriki katika michezo na hii imechagiza kuharibu vipaji na ndoto za vijana wengi hapa Tanzania

Sasa kipi kifanyike ni kuwapa elimu wazazi na walezi wa vijana husika kuhamasika juu ya michezo na kuwapatia mchango katika kuendeleza vipaji vyao, nani afanye hivi? Mfano wachezaji waliofanikiwa katika michezo mfano katika soka.

Suala jingine la familia zetu na limekuwa changamoto kubwa ni kutokuwapatia nafasi ya wanawake katika kushiriki katika michezo mbalimbali na kuliletea heshima taifa hili, ni Imani potofu ambayo ipo vichwani mwa watu waliowengi kuhusu suala zima la kutokuwapatia wanawake nafasi kushiriki kwenye michezo mfano mpira wa miguu, labda inachagizwa na maumbile yao, lakini sio kwamba hawawezi kushiriki katika michezo wanaweza kushiriki na kuleta heshima katika sekta hii ya michezo, pia wapatiwe nafasi mbalimbali katika hii sekta ili kuhakikisha maendeleo ya sekta ya michezo.

Pia, katika hii sekta ya michezo ikipendeza kwenye uteuzi na uchaguzi wa viongozi pawepo na nafasi za wanamichezo ambao wamefanikiwa au kustaafu ili waweze kuongoza na kutoa mchango wao katika kukuza na kuendeleza michezo, mfano kwa mataifa tofauti wamekuwa wakifanya hivi mfano Cameroon chini ya samwel Etoo ambaye kapata mafanikio makubwa akiwa Barcelona, hii itasaidia katika kukuza na kuendeleza sekta ya michezo hapa nchini. Kwanini? Hii inaleta taswira kuwa wateule wanakuwa na fani juu ya michezo katika nafasi mbalimbali wanazokuwa wamepewa waongoze.

Mwisho, kwa maono yangu ili tuendelee kimichezo mfano katika soka, kwanza tuthami wazawa na kuwapa nafasi kuliko hii thamani wapewe watu kutoka nje ya taifa letu na iwepo sheria ni wangapi waje kutoka nje kuongoza vilabu vyetu, suala la kila timu kuwa na miundombinu yake hapa namaanisha kuwa serikali kuvipa uhuru wa kujiendesha vyenyewe bila kuvunja taratinbu na kanuni za nchi mfano kila timu kuwa na kiwanja chake ila tu, serikali ibaki na kusaidia timu ya taifa.
 
Sekta ya michezo ni miongoni wa sekta mbalimbali za serikali, ambapo hii sekta inajihusisha na masuala ya kukuza na kuendeleza michezo Tanzania, mfano mpira wa miguu, mpira wa mikono, ghofu, mchezo wa ngumi au masumbwi, kuogelea, riadha n.k. Tanzania katika kuhakisha ukuaji wa michezo serikali imeunda wizara ya utamaduni, sanaa na michezo katika kuhakikisha kuwa michezo inakua nchini Tanzania. Namna ambavyo sekta hii imekuwa ikiendeshwa imekuwa na mafanikio pia na changamoto katika uendeshaji wa michezo mbalimbali.
Kwa namna moja au nyingine serikali imekuwa bega kwa bega katika kutoa mchango wake katika kuendeleza michezo mfano mchango wa kifedha, kutoa ndege kwa ajili ya usafiri wa timu, ushauri pia sheria za kuwndesha michezo mfano, UMITASHUMTA, UMISETA n.k ambapo serikali inatoa maelekezo juu ya uendeshaji wa haya mashindano kwa shule za msingi na shule za sekondari.
Ila cha kushangaza na kujiuliza hivi mwisho wa wanafunzi wanaofanya vizuri kwenye michezo UMISETA au UMITASHUMTA ni upi? na nani anawaendeleza baada ya mashindano kuisha? kwangu mimi naweza kusema kuwa serikali bado haijaweka sera nzuri za kuwasaidia hawa vijana, pendekezo langu kwa hili swala kuwepo na shule ambazo shughuli zake ni michezo tu pasi na kuchanganya na masomo mengine hii, itasaidia kuwa na vipaji vingi katika suala zima la michezo au kama si hivyo michezo iwe miongoni mwa masomo katika ngazi mbalimbali za masomo.
Nimeshiriki katika haya mashindano wakati nilipokuwa shule ya msingi na sekondari lakini uendeshaji wake unachangamoto nyingi utasikia mwanafunzi karudishwa shuleni mfano wapo ngazi ya wilaya au mkoa, kwanini utasikia eti ana mtihani wa pre mock au mtihani wa ndani, kwa hili suala michezo haiwezi kufika mbali na kutengeneza wachezaji kama akina sammatta, wanamasumbwi mfano Mwakinyo wengineo hapa Tanzania.
Ni jambo zuri ambalo serikali inafanya kutoa hamasa kwa wachezaji mfano kuwapa viwanja au kuwapa pesa kwa kila goli au kutoka hatua moja ya mashindano kwenda hatua nyingine ya mashindano, hivi kwanini hizo pesa zisitumike kutengeneza academy na hivyo viwanja? ni suala ambalo naona kabisa linawezekana kabisa kuliko serikali kutoa hiyo ela kwa mchezaji wa kigeni, we jiulize ipi kesho yetu? baada ya samatha au Msuva, mfano mzuri ile mechi iliyopita ya taifa changamoto kwa eneo la golikipa hatuna, au waliopo hawakidhi vigezo na ubora kwenye hayo mashindano. Ila sasa hatua zipi zinachukuliwa kumaliza hili tatizo? na si kwamba wachezaji hawapo, wapo. Labda tuwe na academy ambayo itaitwa Tanzania sports national academy itasaidia katika kukuza vipaji vya wanamichezo mbalimbali mfano katika soka.
Wakati mwingine katika kukua kwangu, ukisikiliza Maisha mbalimbali ya wanasoka au wanamichezo waliofanikiwa utasikia kuwa familia yake hakutaka acheze mpira, ila familia yake ilimtaka kusoma na si kucheza mpira, hii imekuwa kasumba katika familia nyingi kutokutoa ruhusa kwa vijana kushiriki katika michezo na hii imechagiza kuharibu vipaji na ndoto za vijana wengi hapa Tanzania, sasa kipi kifanyike ni kuwapa elimu wazazi na walezi wa vijana husika kuhamasika juu ya michezo na kuwapatia mchango katika kuendeleza vipaji vyao, nani afanye hivi? Mfano wachezaji waliofanikiwa katika michezo mfano katika soka.

Great job
 
Good job
 
Nzuri hiyo
 
Umetisha sana yani
 
Back
Top Bottom