Weka biashara kiganjani, Je unamiliki Hotel? Au Small & Medium Enterprise?

In Globo

Member
Mar 26, 2015
10
7
Hii ni habari ya kufurahisha na kuleta faraja kwa wanaomiliki hotel, biashara ndogo na ya kati.
Wauzaji wa jumla na rejareja wa bidhaa mbali mbali:
Supermarket na mini supermarket,Madawa(Pharmacy), Simu na assoceries zake, spare parts, nguo, vinywaji vya aina zote,Liquor stores, ma ajent wa soda, bia, sigara na vitu mbali mbali, vifaa vya umeme, ujenzi, vyombo, duka la jumla la bidhaa yoyot vyakula, electronics, mifugo na vyakula vyake, restaurant, bookshops na stationaries n.k

Tumekuja na jibu litakalokufanya biashara yako iwe mikononi mwako sababu:

  • utakuwa na record ya kilichouzwa
  • Kilichonunuliwa
  • Bidhaa uliyonayo stoo
  • Fedha za mauzo zilizopatika na faida yake kila siku
  • Mapato na matumizi
  • Wateja wako wa mkopo na cashi kwa jumla yao(Creditors and Debtor)
  • Taarifa za wanaokuuzia (Suppliers)
  • Kila aina ya bidhaa unayouza na mwenedo wake
  • Ripoti nyingine nyingi, zipo ndani ya suluhisho hili
  • Na mambo mengi kwa kadri unavyohitaji n.k

Pia wewe mwenye hotel utapata taarifa zote za mwenedo wa hotelini kwako, tangu mteja alipo fanya booking, kuingia, kula, kunywa, kufua nguo, kukodi gari, kutumia huduma nyingine kama swimming pools hadi kulipa na kuondoka.

huna haja tene ya kushinda dukani au hotelini kwako umeshika kalamu na karatasi, Acha biashara yako ikufanyie kazi.

Kwa kupata system zetu (software) utaweza kujua vyote hivyo ukiwa nyumbani kwako hata ukiwa umesafiri nje ya nchi kwani zipo moja kwa moja kwenye mtandao (internet web based software)

Ni rahisi kutumia, tumetengeneza kwa mazingira halisi ya mtanzania

Utapata huduma kwa mteja masaa 24 kwa siku saba za wiki unapokuwa mteja wetu

KWA MAELEZO ZAIDI TUWASILIANE KWA NAMABA 0685 810 420, au ni inbox zaidi tuwasiliane kwa email: inglobotz@gmail.com
 
Ninashukuru kwa tuliowasiliana, naomba nijibu maswali yaliyojitokeza kwa ujumla

Unahitaji kuwa na computer kuazia moja na kuendelea kwenye biashara yako kulingana na mahitaji ya biashara yako.

Vile vile ukitaka kutumia bar code scanner, system inaruhusu( angalizo, hii scanner unaweza kutumia katika kila biashara, kuanzia supermarket, vifaa vya ujenzi, duka la rejereja hadi genge ukitaka)

Karibuni sana.

Karibuni sana
 
Mkuu nadhani unaongelea POS systems, nachotaka kujua ni kwamba hii ni technology yenu au nyinyi ni mnaidistribute tu na kuimanage?

Je hizi POS systems zenu zipo wazi kuongeza options zingine pale mahitaji yanapoongezeka.

Lastly, system yenu vipi ipo compatible with other peripherals such as efd machines.
 
Mjasiliamalidzamani, majibu ya maswali yako yote ni ndiyo
Hii ni technologiy yetu imetengenezwa na sisi hapahapa kwa mahitaji halisi ya Mtanzani, ndio maana hapo juu nilisema tumemuangalia hata muuza genge anaweza kutumia

POS system zetu zipo open kwa kadri mahitaji ya mteja wetu

Pia systems zipo compatible with other peripherals

Nashukuru na Karibu
 
Kwa kutumia hizi software zetu, biashara yako itajiendesha bila kuhitaji uwepo wako kwenye hiyo biashara kwa muda mrefu, hivyo kukupa muda wa kufikiria na kuanzisha biashara nyingine, Vilevile utapata muda wa kupumzika na kukaa na familia yako, pamoja na hayo yote, faida yako utakuwa unaijua kila siku na kukufanya uamue kuendelea kuwekeza zaidi au kujua la kufanya.

Karibu husichelewe, tuna special offer kwa namba fulani ya wateja wetu, kuwa mmoja wao

KWA MAELEZO ZAIDI TUWASILIANE KWA NAMABA 0685 810 420, au ni inbox zaidi tuwasiliane kwa email: inglobotz@gmail.com
 
Tunashukuru wote mliojitokeza na kuzikubali software zetu, kwa wale ambao tumewafungia tuna imani mtaleta mrejesho, jinsi mnavyoendelea kunufaika.

Haujachelewa, tuwasiliane uweze ku control biashara yako, Karibu sana
 
Naomba kufahamu cost Zenu na maelezo zaidi kwa mie ninae miliki stationary na biashara Kubwa ni Kutoa copy, print,. Asante
 
Hii ni habari ya kufurahisha na kuleta faraja kwa wanaomiliki hotel, biashara ndogo na ya kati.
Wauzaji wa jumla na rejareja wa bidhaa mbali mbali:
Supermarket na mini supermarket,Madawa(Pharmacy), Simu na assoceries zake, spare parts, nguo, vinywaji vya aina zote,Liquor stores, ma ajent wa soda, bia, sigara na vitu mbali mbali, vifaa vya umeme, ujenzi, vyombo, duka la jumla la bidhaa yoyot vyakula, electronics, mifugo na vyakula vyake, restaurant, bookshops na stationaries n.k

Tumekuja na jibu litakalokufanya biashara yako iwe mikononi mwako sababu:

  • utakuwa na record ya kilichouzwa
  • Kilichonunuliwa
  • Bidhaa uliyonayo stoo
  • Fedha za mauzo zilizopatika na faida yake kila siku
  • Mapato na matumizi
  • Wateja wako wa mkopo na cashi kwa jumla yao(Creditors and Debtor)
  • Taarifa za wanaokuuzia (Suppliers)
  • Kila aina ya bidhaa unayouza na mwenedo wake
  • Ripoti nyingine nyingi, zipo ndani ya suluhisho hili
  • Na mambo mengi kwa kadri unavyohitaji n.k

Pia wewe mwenye hotel utapata taarifa zote za mwenedo wa hotelini kwako, tangu mteja alipo fanya booking, kuingia, kula, kunywa, kufua nguo, kukodi gari, kutumia huduma nyingine kama swimming pools hadi kulipa na kuondoka.

huna haja tene ya kushinda dukani au hotelini kwako umeshika kalamu na karatasi, Acha biashara yako ikufanyie kazi.

Kwa kupata system zetu (software) utaweza kujua vyote hivyo ukiwa nyumbani kwako hata ukiwa umesafiri nje ya nchi kwani zipo moja kwa moja kwenye mtandao (internet web based software)

Ni rahisi kutumia, tumetengeneza kwa mazingira halisi ya mtanzania

Utapata huduma kwa mteja masaa 24 kwa siku saba za wiki unapokuwa mteja wetu

KWA MAELEZO ZAIDI TUWASILIANE KWA NAMABA 0685 810 420, au ni inbox zaidi tuwasiliane kwa email: inglobotz@gmail.com
Tupatie sample access via web link
 
Back
Top Bottom