WCB Label Wanawahitaji CLOUDS MEDIA kuliko hata Wcb wanavyowahitaji Babu tale na Sallam sk

WCB ndo label pekee kubwa hapa Bongo, East Afrika na kati, na Afrika nzima tokea huku uswahilini kwetu...

Nyingine za uswahilini ni kama vile;

1. Kings Music ya bwana Kiba,
2. Konde Music ya Harmonize,
3. African Princess ya Nandy,
4. Wanene waliko kina aslay,
5. PKP ya Dimpoz,
6. Mdee Music ya Vanesa,
7. Bana Music ya Baraka da prince,
8. nk. nk, nk....

MASWALI YA MSINGI
~Kwanini hizi label sio kubwa au kuikaribia WCB licha ya kutokuwa na bifu na Media?

~Je, kuna label yeyote kati ya hizo ambayo wasanii wake wanafikia level ya wale wa WCB?

~Kwanini WCB ipatane na Clouds?

~Kwani hao Clouds hawazioni hizo label nyingine wazikuze ili ziwe sawa na WCB?

~Nakuta watu wanazungumzia fanbase ya Mond ndo inaibeba label, ckatai lakin je hao wengine wameshindwaje kutengeneza fanbase kama hiyo?

~Kuna watu wanadai kakuzwa na Clouds na Ruge (R.I.P), kwan ni Mond pekee au WCB ambayo ilikuwa inapigwa huko mawinguni?
Kama ni hivo basi Clouds wanaihitaji sana WCB kuliko WCB inavowahitaji wao

Blood fan wa WCB
 
Mbo
Unampenda sana Diamond au unajua kusoma ila kuelewa ndo tatizo,. Alafu mi sijamtolea mfano msanii mwingine, ila we umekurupuka na kiba na Aslay acha uteam wa kipimbi

Nazungumzia Wasanii wa Label ya Wcb achana huyo Diamond kuna Wasanii wako chini Label ya Wcb.. Kama Ni Diamond ningemzunguzia yeye kama yeye wala nisingeweza kuitaja Label

NB; Leo Diamond kavaa nguo gani?
Mbona hajajibu hoja, hao wanaopewa promo wako wapi ?
 
We ndo Umenielewa mkuu na umeongea kitu kikubwa sana,. Tatizo la wabongo ni Uteam

Mi sijataja Msanii yoyote wa nje ya wcb kwenye mada yangu mtu anakuja anakurupuka, sijui ali kiba sijui aslay
Ni kweli hujataja msanii yeyote nje ya wcb lakini hao ambao hawana bifu na hizo media unazozizungumzia mbona nao hawanana jipya? Wapowapo tu?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom