WCB Label Wanawahitaji CLOUDS MEDIA kuliko hata Wcb wanavyowahitaji Babu tale na Sallam sk

HAPA NAJUA WATU WENGI WATACHANGIA KWA MIHEMKO YA TIMU, ILA KIUKWELI WASANII WANAHITAJI SANA MEDIA KUJIJENGA KULIKO MEDIA INAVYOWAHITAJI WASANII, PIA KWA WANAOKUMBUKA REDIO CLOUDS IMECHANGIA SANA WASANII KUPATA TUZO ZA NJE KWA KUTUHAMASISHA KUPIGA KURA ILA KWASASA TUMERUDI SANA NYUMA KWENYE TUZO SABABU YA BIFU ZA KIJINGA ZA MEDIA NA WASANII.
KINA P, DIDY WENYEWE NI WASANII WAKUBWA LAKINI WANAIHESHIMU SANA REDIO 106.6 POWER FM HOUSE OF HIP HOP YA MAREKANI.

Sent using Jamii Forums mobile app
We ndo Umenielewa mkuu na umeongea kitu kikubwa sana,. Tatizo la wabongo ni Uteam

Mi sijataja Msanii yoyote wa nje ya wcb kwenye mada yangu mtu anakuja anakurupuka, sijui ali kiba sijui aslay
 
Uelewa wako wa kuelewa na kuchanganua mambo ni Mdogo sana.. Mi simuongelei boss wenu nawaomgelea hawa madogo walioko chini ya label yake.

Ebu weka hapa Ratiba ya show za Rayvann, mboso na Lavalava

Ratiba ya show ndio kwanza mwanzo wa mwaka,mimi nimeongelea achievement walizozipata WCB kwa mwaka 2019.So kwa achievement walizozipata hawahitaji msaada WA HAO UNAO WAONA WEWE WA MAANA.
 
ulipokuwa ukiandika huu uzi unafahamu kuwa ni miaka zaidi ya miwili na ni zaidi ya mitatu toka WCB wanagombana na hzo media...?

Lakini kumbuka mpaka sasa huwezi ona tofauti ya wasanii wanaoshirikiana na hzo media zaidi wasanii waliopo WCB wanatamba kuliko hata hao mpaka inafika time hata ww unasema kunawasanii wanabebwa na Jina la lebo.

Kumbuka huyo harmonize unamuona hapo alipo ni nguvu ya WCB na Mboso na Lavalava pia ni nguvu ya WCB na si media yoyote.

Hzo media zinawaitaji zaidi wasanii wa WCB kuliko wao wanavyozihitaji wao coz umbea wote upo WCB heat zote zpo WCB hata ujinga/upumbavu chochotewooote utaohitaji upo pale
ko we endelea kusubiri tu waanguke
WANGEKUA HAWANA BIFU NA MEDIA KUBWA UNGEKUTA WAPO MBALI KULIKO HAPO, SASA KWAKUA WABONGO TUNARIDHIKA MAPEMA NA MAFANIKIO KIDOGO NA SIFA ZA MTAANI TUNAJIONA TUMESHAFIKIA KILELE CHA MAFANIKIO KUMBE BADO TUNA SAFARI NDEFU, KWA NJIA HII NA MAMBO YA KUENDEKEZA U TIMU TUTACHELEWA SANA KUONA WASANII WETU WAKIFANIKIWA. NDIO SABABU WENZETU WANAIGERIA WANAZIDI KUFANIKIWA NA SISI TUNABAKI NA MABIFU.
HARMONIZE MWENYEWE SIKU AMETOKA WCB ALISEMA ROHO YAKE INAMUUMA SANA KUONA NYIMBO ZAO HAZICHEZWI BAADHI YA MEDIA.

Pia kumbuka hata huyo Diamond kufika hapo ni Nguvu ya hizo media hasa Clouds na ruge..

Mboso uwezo wake ulikua unajulika toka akiwa Ya moto band, Huyo Lavalava ni hasara kwenye Label ni Msanii mdogo sana hata uwezo wake pia ni mdogo
 
Ok Weka za huo mwaka uliopita
Ratiba ya show ndio kwanza mwanzo wa mwaka,mimi nimeongelea achievement walizozipata WCB kwa mwaka 2019.So kwa achievement walizozipata hawahitaji msaada WA HAO UNAO WAONA WEWE WA MAANA.
 
WANGEKUA HAWANA BIFU NA MEDIA KUBWA UNGEKUTA WAPO MBALI KULIKO HAPO, SASA KWAKUA WABONGO TUNARIDHIKA MAPEMA NA MAFANIKIO KIDOGO NA SIFA ZA MTAANI TUNAJIONA TUMESHAFIKIA KILELE CHA MAFANIKIO KUMBE BADO TUNA SAFARI NDEFU, KWA NJIA HII NA MAMBO YA KUENDEKEZA U TIMU TUTACHELEWA SANA KUONA WASANII WETU WAKIFANIKIWA. NDIO SABABU WENZETU WANAIGERIA WANAZIDI KUFANIKIWA NA SISI TUNABAKI NA MABIFU.
HARMONIZE MWENYEWE SIKU AMETOKA WCB ALISEMA ROHO YAKE INAMUUMA SANA KUONA NYIMBO ZAO HAZICHEZWI BAADHI YA MEDIA.

Sent using Jamii Forums mobile app
Na me nakuuliza mbona hao wasanii wanaopigwa ngoma zao na clouds mbona wameshindwa kufika mafanikio ya WCB?
 
Mafanikio yapi ya hao wasanii waliopo chini ya label ya Wcb

Rayvanny
Mboso
Lavalava

ebu yataje mkuu,. We ni bingwa wa kutoka nje ya mada kukimbia kumuongelea diamond kuliko hata wasanii walio sain kwenye Label
 
WANGEKUA HAWANA BIFU NA MEDIA KUBWA UNGEKUTA WAPO MBALI KULIKO HAPO, SASA KWAKUA WABONGO TUNARIDHIKA MAPEMA NA MAFANIKIO KIDOGO NA SIFA ZA MTAANI TUNAJIONA TUMESHAFIKIA KILELE CHA MAFANIKIO KUMBE BADO TUNA SAFARI NDEFU, KWA NJIA HII NA MAMBO YA KUENDEKEZA U TIMU TUTACHELEWA SANA KUONA WASANII WETU WAKIFANIKIWA. NDIO SABABU WENZETU WANAIGERIA WANAZIDI KUFANIKIWA NA SISI TUNABAKI NA MABIFU.
HARMONIZE MWENYEWE SIKU AMETOKA WCB ALISEMA ROHO YAKE INAMUUMA SANA KUONA NYIMBO ZAO HAZICHEZWI BAADHI YA MEDIA.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona huyo Harmonize sasa hiv ngoma zake zinapigwa clouds lakini hazifanyi vizuri kulinganishwa na kipindi yupo WCB?
 
Ok Weka za huo mwaka uliopita
Najua wewe hater huwezi ukaona.Rayvanny mwaka jana ndio msanii wa kwanza ambaye ratiba yake ilitoka,alikuwa na show europe kama 8 kuanzia march mpaka may,baada ya Tetema kuhit akapata mialika mikubwa miwili ktk matamasha ya Essence US na Afro nation Portugal (ktk list alikuwepo steflon don) na kuna show nyingine alizipata Kenya sababu ya Tetema.
images (9).jpeg

Afro Nation.
images (11).jpeg

Mbosso sikumbuki ratiba ila kwa mwaka wa 2019 mwezi wa 12 alipiga show tatu ktk nchi tatu tofauti Comoro,Mayyote na Kenya.Ila alikuwa na show nyingi Kenya na hasa Mombasa,Kisumu kama sikosei na Lamu.

Msanii ambaye hakuwa na show nyingi Lavalava.

Alafu wao mnaumia WCB ambao wamesimama kutopigwa na vyombo hivyo,mbona hamuumii kwa akina RAMA D,Lady Jay Dee ambao hawapigwi nao.
 
Sijaona hiyo rist ya ratiba zaidi ya Maneno tu,. Kuna wasanii wengi tu hapa bongo wamepiga show nje kwa uganda na kenya wengi wanapiga show tena bila show off
Najua wewe hater huwezi ukaona.Rayvanny mwaka jana ndio msanii wa kwanza ambaye ratiba yake ilitoka,alikuwa na show europe kama 8 kuanzia march mpaka may,baada ya Tetema kuhit akapata mialika mikubwa miwili ktk matamasha ya Essence US na Afro nation Portugal (ktk list alikuwepo steflon don) na kuna show nyingine alizipata Kenya sababu ya Tetema.
View attachment 1357131
Afro Nation.
View attachment 1357132
Mbosso sikumbuki ratiba ila kwa mwaka wa 2019 mwezi wa 12 alipiga show tatu ktk nchi tatu tofauti Comoro,Mayyote na Kenya.Ila alikuwa na show nyingi Kenya na hasa Mombasa,Kisumu kama sikosei na Lamu.

Msanii ambaye hakuwa na show nyingi Lavalava.

Alafu wao mnaumia WCB ambao wamesimama kutopigwa na vyombo hivyo,mbona hamuumii kwa akina RAMA D,Lady Jay Dee ambao hawapigwi nao.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom