Uzalendo wa Kitanzania
JF-Expert Member
- Mar 8, 2020
- 3,116
- 6,995
Wadau hamjamboni nyote?
Waziri wa mambo ya Usalama mwenye msimami mkali kutoka Chama Cha Yehudit amwambia Waziri Mkuu Netanyau kuwa asithubutu kusitisha vita dhidi ya Hamas bila kuivamia Rafah
Waziri huyo Ben Gvir amesema ikitokea Netanyau amesitisha vita bila kufanya mashambulizi makubwa kwenye mji wa Rafah Ili kuwaangamiza Magaidi wa Hamas basi atakosa uhalali kuendelea kuongoza taifa hilo la kiyahudi.
Source Times of Israel
Far-right National Security Minister Itamar Ben Gvir issues a threat against Prime Minister Netanyahu not to halt the war in Gaza.
“If the prime minister decides to end the war without a large-scale offensive in Rafah to defeat Hamas, he will not have a mandate to continue serving as prime minister,” Ben Gvir writes on X.