Wazee wenzangu: Huu wimbo umeimbwa na nani?

Polisi

JF-Expert Member
Nov 22, 2010
2,082
640
Sina uhakika lakini haya ni baadhi ya maneno
Wazazi, wazazi nakonda na...................
Mnanilazimisha kuolewa na mimi bado ni mdogo...
miaka kumi na..............
Chorus
Samahani, samahani samahani baba na mama.......
...................
Karibuni
 
naujua wimbo najua aliyeimba.....ninao.but am sorry siwezi kumsaidia kitu polisi. tena nikikuta polisi anashambuliwa na majambaz mi ntayasaidia majambazi kumuua polisi.
 
Back
Top Bottom