Wazee nahisi kuna mtu amenicheza, nikipata hela hazikai

Chief Kumbyambya

JF-Expert Member
Jun 16, 2022
520
1,605
Yani kabla ya mwisho wa mwezi nakuwa na mipango mingi sana tena ya maana mnoo. ila ukifika tu huo mwisho wa mwezi hela inavyopukutika sasa, hata sielewi.

Mitungi jamani mitungi jamani mitungiiiiiiiiiiiii aaaaagh.

Nakukuta tu balance niliyobaku nayo inatia huruma hapo ndo akili zinarudi hela yote ila nimetumia hivyo?

Eti wazee ni nini hiki?
 
Yani kabla ya mwisho wa mwezi nakuwa na mipangi mingia sana ila ukifika tu huo mwisho wa mwezi hela inavyopukutika hata sielewi.

Mitungi jamani mitungi jamani mitungiiiiiiiiiiiii aaaaagh.

Nakukuta tu balance niliyobaku nayo inatia huruma hapo ndo akili zinarudi hela yote ila nimetumia hivyo?

Eti wazee ni nini hiki?
wanakuja mkuu
 
Yani kabla ya mwisho wa mwezi nakuwa na mipango mingi sana tena ya maana mnoo. ila ukifika tu huo mwisho wa mwezi hela inavyopukutika sasa, hata sielewi.

Mitungi jamani mitungi jamani mitungiiiiiiiiiiiii aaaaagh.

Nakukuta tu balance niliyobaku nayo inatia huruma hapo ndo akili zinarudi hela yote ila nimetumia hivyo?

Eti wazee ni nini hiki?

Kama wewe ni hedonistic person- MTU unayeshindana na mwili ndo upate Furaha , hapo sio rahisi kubaki na PESA mkuu.

Mpaka uchukue hatua za kimakusudi kujikomboa maana hakuna wa kukukomboa .
 
Biblia inasema "aonavyo mtu nafsini mwake ,ndiyo alivyo".

Kama unaamini unalogwa basi utaendelea kuamini hivyo na kuanza kuchukia watu. Watu kama nyie ni rahisi kuwa manipulated na wagamga wa mjini wazee wa fursa maana tayari "mmeshajihami" nafsini kuwa mnalogwa.

Achana na pombe, mkuu.

Pombe na mademu (mitungi na mikasi) vinamaliza sana Hela.
 
Biblia inasema "aonabyo mtu nafsini mwake ,ndiyo alivyo".

Kama unaamini unalogwa basi utaendelea kuamini hivyo na kuanza kuchukia watu. Watu kama nyie ni rahisi kuwa manipulated na wagamga wa mjini wazee wa fursa maana tayari "mmeshajihami" nafsini kuwa mnalogwa.

Achana na pombe, mkuu.

Pombe na mademu (mitungi na mikasi) vinamaliza sana Hela.
Hii mitungi na mikasi ni kweli ila shida ninapotumia nakuwa kama sio mimi vile mpaka kiasi kibaki kidogo ndiyo akili unarudi kwamba hivi nimefanya nini sasa!!!!? Yani mzee acha tu.
 
Ni hesabu tu mkuu,! Yan ukilitambua jibu tu (sio kujua) Ushatoboa
Unakuta mtu anafanya kazi mwezi mzima mshahara ukitoka tar 22 mpaka kufika tar 30 umeisha😂😂.Unakula mwenyew mshahara wako siku 7 na unaishi kawaida tu! Ushawahi kujiuliza kuanzi tar 1 unaishije mpaka tar 20 bila mshahara?
 
Back
Top Bottom