Wapenzi washabiki na Wanachama wengi wa Simba kutoenda kwa Mkapa Jumamosi hii

Uzalendo wa Kitanzania

JF-Expert Member
Mar 8, 2020
2,214
4,722
Wadau hamjamboni nyote?
Kichwa cha habari chahusika

Hizi ni tetesi zinasambaa kwa kasi mtaani japo hakuna mtu aliyejitokeza kushuhudia na kuthibitisha ukweli wake

Kwamba wahusika hawatokwenda kwa wingi kama desturi yao kwa kukosa Imani na boti yao

Naomba kama yupo mwenzetu ndani ya jukwaa hili huru kabisa atujuze

Niwatakie usiku mwema wenye baraka tele na Kila la kheri jumamosi ya tarehe 20
 
Imagine uende uwanjani na unajua kabisa mnaenda kupigwa, yaan mi roho ishaanza kuuma kabla hata ya hyo tarehe 20 duuh 😓
 
Sio matokeo ya kushangaza haya, labda kama hujacheki game.
Siyo idadi ya magoli naongelea kupindua matokeo na kuenda nusu fainali, labda kama hukusikia watu walivyokuwa na mashaka na psg tangia msimu unaanza, hata hivyo we unadhani kwenye mikeka wangapi walimpa psg katika mechi hiyo
 
Ulitegemea kwa ile red card ya mapema Barca atoboe au umeanza kuujua mpira baada ya kununua smartphone?
 
Mimi natamani tu kujua mashabiki wa yanga wameipa timu gani ushindi huko kwenye mikeka, maana mimi huku kila shabiki wa yanga ninayemuambia tubet tumpe yanga ushindi, maana ni uhakika pesa lazima irudi na faida juu eti hataki
NIna treni langu sportpesa nimempa ushindi yanga
 
Litimu lina mgogoro wa kufa mtu,vipngozi wanapambana kupiga hela tu badala ya matokeo mazuri ya timu
 
Sisi ndiyo Simba SC AKA;

1. Makolokolo SC.

2. Mbumbumbu SC.

3. Mipang'ang'a SC.

4. Malalamiko SC.

5. Makelele SC.

6. Madunduka SC.

7. Mikia SC.

8. Mazumbukuku SC.

9. Manyaunyau (mapaka) SC.

10. Manyang'au SC.

11. Miso Misondo SC.

12. Mwakarobo SC.

13. Mazombi SC.

14. Kolokhamsa SC.

15. Kolowizards SC.

16. Kinyume nyume SC.

17. Zuwena SC.

18. Bebwabebwa (Mbeleko) SC.

19. Bahasha SC.

20. Ngada SC.

21. Kufa Kiume SC.

22. Masandakolozidad SC.

23. 5imba SC.
JamiiForums1683832807.jpg
 
Siyo idadi ya magoli naongelea kupindua matokeo na kuenda nusu fainali, labda kama hukusikia watu walivyokuwa na mashaka na psg tangia msimu unaanza, hata hivyo we unadhani kwenye mikeka wangapi walimpa psg katika mechi hiyo
Kumbe wewe ni gambler, mimi naongelea mechi husika na sio kamari.
 
Back
Top Bottom