Hongereni Simba SC kwa 'Kutuheshimisha' Watanzania na Biashara United FC kwa 'Kutung'arisha' wana Mkoa wa Mara (Musoma)

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,892
109,615
Hamjatutangaza vibaya Watanzania na Tanzania ya sasa ya Rais Samia kama 'Wendawazimu' wengine ambao Furaha yao na Ubingwa pekee walionao ni Kukusanya Waganga wa Kienyeji nchi nzima, Kukata Kiganja cha Mtoto Mkoani Tanga na kwenda Kuroga eneo hatari la Nungwi kwa Msaada wa Boti ya Taasisi Moja muhimu kwa Ulinzi wa Tanzania kwa Maagizo ya Bosi wao ambaye ni Shabiki wao Mkuu I'll tu waifunge Simba SC.

Unapata wapi uhalali wa 'Kujitapa' kabisa kuwa Wewe ni Timu Kubwa Tanzania huku Mechi ya Kwanza tu ya Michuano ya CAF CL 'umechapika' Nyumbani na Ugenini pamoja na Kukodi Ndege iliyojaa Waganga wa Kienyeji 23 huku Klabu ya Biashara United FC kutoka Mkoa wa 'Wanamume' Tanzania nzima ikiendelea tu Kuchanja Mbuga?

Heshima ya Tanzania, Watanzania na Wapenda Michezo (hasa Soka) nchini Tanzania inazidi Kukuzwa na Mafanikio ya Kivitendo yaliyojaa Mipango, Uzoefu wa Michuano ya Kimataifa na Mshikamano wa Viongozi, Wanachama, Wapenzi, Wadau na Mashabiki wa Kutukuka ( kama GENTAMYCINE ) hapa.

Asanteni sana Simba SC na Shukrani mno Biashara United FC kwa mlichokifanya juzi Ijumaa na leo Jumapili. Nyote kwa hakika 'mmetuheshimisha' Kunakotukuka Watanzania na Taifa letu la Tanzania.

Uzi huu ukikukwaza Kunywa Sumu Ufe.
 
Ningeshangaa sana huu Uzi mwanzo hadi mwisho uishe bila kuwazungumzia Waume zenu..
 
Ningeshangaa sana huu Uzi mwanzo hadi mwisho uishe bila kuwazungumzia Waume zenu..

Sent from my TECNO L8 Lite using JamiiForums mobile app
Ukipitia maneno ya wana yanga aka utopolo baada ya Simba kupeperusha vizuri bendera ya Tz utafikia hitimixho kuwa Haji Manara alikuwa sahihi, ndiyo maana hadi leo hajaweza kuyakanusha maneno yake. Msikilize tena hapa!
 
Zeruzeru kachukia sana
Nasikia Yeye na Mwenzake Bumbuli walikuwa wameshajiandaa Kutunanga ( Kutusema ) vibaya huko Facebook na Instagram wakiamini kabisa kuwa Jana Simba SC baada ya kuondokewa na Wachezaji wake Mahiri akina Chama na Miquissone basi ama tungetoka Sare au Tungefungwa ila hali imekuwa ni tofauti.
 
Ukipitia maneno ya wana yanga aka utopolo baada ya Simba kupeperusha vizuri bendera ya Tz utafikia hitimixho kuwa Haji Manara alikuwa sahihi, ndiyo maana hadi leo hajaweza kuyakanusha maneno yake. Msikilize tena hapa!
View attachment 1978036
Kwahiyo baada ya Yeye pia sasa Kuhamia huko Yanga SC alikosema hakuna Watu wenye Akili si ina maana kuwa hata Yeye hamnazo ( hana Akili ) au?
 
Mbona unaandika kinyongee mkuu, unajua kabisa kiwango cha timu yako msimu huu ni Kama mgonjwa anaekaribia kukata roho, kakutana na mgonjwa mwenzako ambae yeye alikuwa anachungulia kaburi, ndo maana ata kocha wa jwaneng kakiri kuwa amefungwa na timu dhaifu alivyokuwa anaifikilia simba ni tofauti na aliyocheza nayo ndani ya uwanja, uyo ni kocha professional anaeongea kitaalamu na sio kishabiki, sababu Kama mmeenyeshwa na kitimu cha namna hii washambuliaji wake awajui ata kupiga mpira golini je ukikutana na wanaume itakuwaje,
 
Mabadiliko ya kweli yanakuja Tanzania, karibu kila sehemu ni jambo la mda tu. Kama ilivyo kwenye bongo fleva sasa hivi mziki umepaa mbali na bado unapaa sana. Mpira ndo huu umeaanza kupaa! Bongo movie mnasua sua sana sehem hii ipo wazi sana kwa sasa Tanzania. Vijana Tanzania toboeni kupitia Bongo movie, wamejaa madanga tu hayajui nini yafanye.
 
Mbona unaandika kinyongee mkuu, unajua kabisa kiwango cha timu yako msimu huu ni Kama mgonjwa anaekaribia kukata roho, kakutana na mgonjwa mwenzako ambae yeye alikuwa anachungulia kaburi, ndo maana ata kocha wa jwaneng kakiri kuwa amefungwa na timu dhaifu alivyokuwa anaifikilia simba ni tofauti na aliyocheza nayo ndani ya uwanja, uyo ni kocha professional anaeongea kitaalamu na sio kishabiki, sababu Kama mmeenyeshwa na kitimu cha namna hii washambuliaji wake awajui ata kupiga mpira golini je ukikutana na wanaume itakuwaje,
Kacheze unakochezaga
Rivers United alikuchapa nje ndan na faini juu
Uto bna
 
Kwani na Wewe style yako ya Kumkaza Mkeo ni ile ile tokea Umemtongoza na Kumchumbua na kwamba hadi leo hii unautafuta Uzee haijabadilika?
Sasa mimi sina mke, labda wenye wake tuwaulize kama staili za kuwakaza wake zao bado zilezile au zimebadilika!
 
Back
Top Bottom