Wanted: KIDDLE PAPERWHITE

tcoal9

JF-Expert Member
Apr 5, 2009
248
62
kindle1.PNG
kindle2.PNG

Je hii device kwa Dar es salaam nitapata duka gani.
Na je ni tsh ngapi?. Msaada Tafadhali nahitaji kwa haraka.​

Mrejesho: (24 May 2013 )

Nimefanikiwa kuipata hii device Amazon kindle Paperwhite week hii.

Kindle.jpg

Shukrani kwa wana Jf kwa ushirikiano wenu.

Hasa ndugu yetu, Mwana Jf mwenzetu Young Master kwa kufanikisha kupata hii device,Aksante sana.
 
mkuu ni kindle.

Kuna duka moja samora linaangalizana na ofisi za dailynews kuna friend of mine amenunua hapo. Nitakupa na namba ya muuza duka kwa pm badae.
 
tcoal9 Shukran sana mkuu. Japo mzigo ulichelewa kuwasili lakini si mabaya ili mradi umefika. Let me know kama utahitaji any other devices mkuu.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom