Wanawake wajibikeni; hamna haki ya kupewa hela na wanaume

Salam wakuu naomba na mm niongelee upande mwbgne wa shilingi naona engo hii wengi hawajaiongelea japo nayo ni chanzo kikubwa (provided that all mentioned above are also true) cha hayo yaolioelezwa na mtoa mada

Sisi wnaume nao tumekuw tunapenda mtelezo

Limeibuka wimbi piaa baadhi ya wnaume kuw hawapend kabsa kujstress na mapnz hio ikogo hvy

mfano binafs mm nina washkaj zngu kadhaa hawo hawatak kabsa maswala ya kutongoza madem wako bze na mishe za maisha kusaka njuluku yan hawatak zle stress z kuchatshana na nn na nn na kujaliana kwngi kama picha za kikorea wao nyege na pesa mkononi yaan wao n kunyoosha mkono ela wnataka shoo baada hapo maisha mengne yaendlee

na hii pia n kutokan na harakt za mjini na ugum wa maisha yan life linaenda resi mtu huo muda kukmbzana na pisi hamna

hapo nayo inalengesha haw wadada kufnya kama biashara miili yao
Sas mwnmke akiona kuna jamaa akimpa mzgo anamtoa ela
Lazma ajiulze mar mbil ww anaekupaje bure hili hata ungekuw ww hakuna ambae apend hela, wnapiga ndege wawl kw jiwe moja

muhim tucheze na beat tu ukpata wa kutiana nae pesa mbele tiana akikuzd mahtaj mditch waachie wngne ukmpata mapenz kunoga tamaa chini ishi nae ikwezkan oa kabsa

Still Life have never being fair
One night stand haina shida mkuu. Ukizidiwa na una hela mfukoni we sogea kitambaa cheupe au popote pale chukua kahaba kajilie vyako lakini mkishamalizana hamjuani tena kila mtu anaendelea na life lake huyu kahaba kesho akiwa na shida ya kusuka saluni, gesi, umeme n.k hayo hayakuhusu kwa sababu ulivyomtomba ulishamlipa pesa yake. Shida ni hawa indirect prostitutes walioibuka kwa kasi siku hizi. Wanayaangalia mahusiano ya mapenzi kama chanzo cha mapato. Mwanamke akiaamua kuwa kahaba afanye ukahaba wake na akiamua kuingia kwenye mahusiano basi aakikishe anao uwezo wa kujihudumia kulingana na life style anayotaka kuishi.
 
Alafu na piga kote kote fatilia nyuzi zangu vizuri. Mm nasema ukweli ambao watu hawautaki
Katika jambo nililojifunza kutoka kwa wanawake ni
1. Usiwekeze hela au mali kwa mwanamke au wanawake. Km una milion moja unaenda kutoa mahari halafu ukakuta kiwanja kinauzwa. Hiyo hela nunulia kiwanja hata km kinauzwa milion 3, hiyo hela ya mahari jazia hapo kwenye kiwanja. Utanishukuru
2. Mwanaume unatakiwa uwe na misimamo yako katika maisha. Mji ni wako na mali ni zako
3. Mwanamke au wanawake hawana misaada yoyote kwenye maisha ya mwanaume. Ukianguka kiuchumi mwanamke hawezi kukusaidia zaidi ya kukimbia hata kukusimanga. Mwanamke huwa anajiangalia yeye tu.
4. Mwanamke au wanawake hawana mawazo ya chanya ya kukujenga mwanaume. Wanachojua ulete apike ale usiku umridhishe usipomridhisha atatafuta mwingine amridhishe.
 
Ngoja kwanza, kwenye mahusiano yoyote unaamanisha mpaka kwenye ndoa?

Uzuri sisi Waislam dini yetu imetupa muongozo bora kabisa MaashAllah, wala hakuna mjadala.a
Dini ya kiislam ilitoa muongozo kipindi ambacho Mwanamke alikuwa hana kazi. Kazi yake kumuhudumia mumewe tu. Sasa hivi wanawake ndiyo Wakuu kwenye maofisi, mawizara mpk kwenye urais. Mfumo umebadilika wote tunaona kutafuta hela hivyo tusaidiane ndiyo maisha. Sio kunyonyana.
 
Ndugu zangu haijalishi wanawake watakuja kutukana hapa na baadhi ya wanaume wapumbavu watakuja kutema mapovu hapa kutetea ujinga wa hizi sampuli ila ukweli ni kwamba wanawake hawana haki ya kutudai tuwape hela wanapaswa kuwajibika na wao kuzitafuta kihalali.

Wakuu nayasema haya kwa sababu kadiri siku zinavyo zidi kusonga kumezidi kuibuka wimbi kubwa sana la upepo mchafu wa wanawake kudai wana haki na ni amri sisi wanaume tuwape hela na kuwahudumia kwa kila namna swala ambalo siyo kweli bali wanawake wanajidanganya na kujipotosha kwa hali ya juu sana.

Wanawake wakae wakijua hawana haki ya kutudai na kujiona ni lazima tuwape hela pindi tuwapo nao kwenye mahusiano ya aina yeyote yale wakae wakijua swala la kupewa hela siyo haki yao bali na wao wenyewe wanapaswa kutafuta hela zao kwa nguvu zao wenyewe na kutusaidia kuendesha maswala ya kiuchumi maana wao ni wasaidizi wetu, na wanawake wa fahamu wazi kabisa siku zote msaidizi anakusaidia na siyo kukuchuna na kukupiga mizinga mizito mizito

Wanaume kumpa mwanamke / mpenzi wako hela hilo siyo jukumu letu wanaume na siyo haki ya mwanamke kupewa hela wala kutudai hela na wakati mwingine kutumia nguvu, kututukana, kutuona washenzi , bahili na hata kutunyima utamu tukigoma kutoa hela.

Mwanamke anayedai hela huyo ni kausha damu , mwanamke wa kweli na anaye kupenda hawezi weka hela kama kipaumbele chake na haki yake bali ata kutii na kukuheshimu kama mwanaume wake na pia atakuwa na wewe akiamini hela zipo tuu napia atawajibika binafsi kujishughulisha kutafuta na yeye hela zake ili asiwe mzigo kwa mwanaume wake.

Hawa wanawake wanaodai wana haki ya kupewa hela na wanaume au kuhudumiwa na wanaume hawanatofauti na wafanyabiashara wa miili yao, wanaume fungukeni mnanyonywa damu na maji kwenye miili yenu ndiyo maana mnatembea barabarani mmekonda nguo zinawadondoka, presha na visukari na maradhi ya moyo yasiyo isha na mwishowe kufa mapem kabisa na kuwaacha wao

Mwanaume haiwezekani utafute hela kwa shida alafu aje mwanamke kwa kisingizio cha mapenzi pasi na kukuonea huruma anadai umpe hela kama haki yake, utasikia ni hudumie , mara njaa kibao , mara shida zisizo isha anakubambika li mzigo lizito uteseke nalo mpaka ufe masikini na umekunja sura kwa uchungu wa kudaiwa hela

Asikubabaishe usipo mpa hela atakunyima utamu, wao hawana utamu, utamu tunao sisi wapo wanawake wengi wasio omba omba wa hela tafuta pole pole achana na kausha damu hela siyo haki yao lazima wa wajibike wanawake
Kama hamtaki kutupatia pesa sawa
 
Dini ya kiislam ilitoa muongozo kipindi ambacho Mwanamke alikuwa hana kazi. Kazi yake kumuhudumia mumewe tu. Sasa hivi wanawake ndiyo Wakuu kwenye maofisi, mawizara mpk kwenye urais. Mfumo umebadilika wote tunaona kutafuta hela hivyo tusaidiane ndiyo maisha. Sio kunyonyana.
Usipende kuongelea mambo usiyoyafahamu Mkuu. Unamjua mke wa kwanza wa Mtume Muhammad Bi Khadija? Nikufahamishe tu alikuwa mfanyabiashara mkubwa na hadi mahari ya kuolewa na Mtume alijilipia mwenyewe.

Quran na miongozo yake, (Mungu) haijawahi kuwa outdated.
 
Usipende kuongelea mambo usiyoyafahamu Mkuu. Unamjua mke wa kwanza wa Mtume Muhammad Bi Khadija? Nikufahamishe tu alikuwa mfanyabiashara mkubwa na hadi mahari ya kuolewa na Mtume alijilipia mwenyewe.

Quran na miongozo yake, (Mungu) haijawahi kuwa outdated.
Wallah hawakubar
 
Usipende kuongelea mambo usiyoyafahamu Mkuu. Unamjua mke wa kwanza wa Mtume Muhammad Bi Khadija? Nikufahamishe tu alikuwa mfanyabiashara mkubwa na hadi mahari ya kuolewa na Mtume alijilipia mwenyewe.

Quran na miongozo yake, (Mungu) haijawahi kuwa outdated.
Hivi mume unahudumia saa ngapi?

Lakini mkuu ulichongea ni fact ... Bi khadija alikuwa anajiweza sana.
 
Back
Top Bottom