Wanaume wa ARUSHA na Dar wapi wakali/wa maana?

Marytina

JF-Expert Member
Jan 20, 2011
9,370
7,334
imezoeleka wanawake wapi wazuri/wembamba/wanene/mkoa gani wa mabinti bomba sasa leo kwenu

Wanaume wa ARUSHA na Dar wapi wakali/wa maana?

 
yaani
wewe umeanzisha thread kabisa?
huoni ile thread ilikuwa ya kijinga????

je kama mtu kazaliwa arusha na anaishi dar kwa miaka mingi?????
au mzaramo aliezaliwa arusha??????
au mhindi wa arusha na dar wanatofautiana????
mpemba wa arusha na dar??????
 
wanaume wa dar( sio wote ila asilimia kubwa) ni masharobaro balaa, kaz yao kubwa ni kuoga, kupaka powder, lip shine, na kukaa kijiweni! Wanapenda kuomba vocha hao..hawapendi kazi!
 
yaani
wewe umeanzisha thread kabisa?
huoni ile thread ilikuwa ya kijinga????

je kama mtu kazaliwa arusha na anaishi dar kwa miaka mingi?????
au mzaramo aliezaliwa arusha??????
au mhindi wa arusha na dar wanatofautiana????
mpemba wa arusha na dar??????
wewe hujaelewa hapa nazungumzia maeneo wanamoishi na sio wanapotokea.
Mpemba anayeishi Arusha ni Muarusha na anatabia za kiarusha sasa wewe unashindwa lipi?
 
sistaa we niaje? Unataka utufananishe na wapaka poda sisi?huyu manzii niaje.....acha usoro!
 
wanaume wa DaR wapo juu.dar ni chuo kikuu cha maisha.kama anaishi dar basi mheshimu sana.mia
 
watoto wa arauchuga wengi wao utasika anasema natak nimwachae prado mamaa mi ninunue mkonge,wa daa utasiki nyie nendeni tu na bajaji mshua kabana ufunguo hata bi mkubwa mwenye hajakubali kutoa hela ya mafuta.

Tafakar then chagua mwenyewe.

Hahahahaha! We unaongelea mafuta?? Mbona mbali hvyo?? Hela ya vocha anasubir bmkubwa ampe. Utasikia aaah baby cm imeishiwa, nasubr bmkubwa aje anrecharge au baby kama vp nirecharge wewe basi!...lol...
 
hii thread haina hata maana wala haijengi. Hii mambo ndo inashusha hadhi ya jamvi.
 
wewe hujaelewa hapa nazungumzia maeneo wanamoishi na sio wanapotokea.
Mpemba anayeishi Arusha ni Muarusha na anatabia za kiarusha sasa wewe unashindwa lipi?

Umesomea nini mkuu kwa sababu wewe ndo hujui unalazimisha mambo ya uongo mtupu. Ina maana wachaga wanaoishi Dar ni Wazaramo? you have definitely missed out the point, yaani kwa ufupi UMEJIKANGANYA KAMA SIYO KUJIKOROGA" Hujaelewa unataka kuongea nini naomba URUDIE!!!.

Nasema hivi kwa sababu ni sawa na kusema hivi viazi vya Mbeya na vya West kilimanjaro vipi vitamu; halafu kumbuka vitamu ni RELATIVE TERM ambayo inategemea maana ya utamu kwa kila mtu.
 
Back
Top Bottom