Wanaume mna roho mbaya ndiyo maana mnakufa mapema

kadogo2

JF-Expert Member
Feb 16, 2024
562
1,111
Zingatia hicho kichwa hapo juu

Wanaume wengi muna tembea na laana za wanawake ndio maana wengi wenu hamfanikiwi kiuchumi wala kiroho na hata mkifanikiwa hamli matunda ya mafanikio yenu muna kufa mapema na sisi ndio tunafaidi

Hata Kama ni tamaa hicho mnachokifanya mnavuka mipaka sio tamaa tena Bali ni mapepo haiwezekani wewe kila mwanamke unataka umfunue

Acheni kudanganya binti za watu munawatumia then munawadamp na msipoachaa mutakufa sana tena kwa umri mdogo
Kama unajua huna nia ya kumuoa binti wa watu kwanini ukae nae muda mrefu mpk unamzalisha dada wa watu anakuwa singomaza then unamkimbia( hapa sizungumzii wanawake waliotegesha mimba hao sina la kuwasaidia)

Mimi nawapenda sana wale ambao ni hit and run hawapotezi muda wa wadada yaani akila anasepa na harudi tena na uhusiano umekufa hapo.. Hii ni nzuri kwasababu hutomzibia mwanamke kupata mtu sahihi na mwanamke anajua kabisaa nimeliwa nimeachwa, sasa kuna wanaume wapumbafu wanamzibia mwanamke asipate mwinginee huku akiendelea kumtumia baada ya Miaka 2 anaoa mwinginee

Ifikie hatua wanaume mbadilike nyie ndio mnasababisha tufike Miaka 30 bado hatujaolewa.. chukulia mfano umeanza mahusiano na binti akiwa na 23 umeenda nae ameamini kuwa utamuoa mwisho wa siku unamuacha akiwa na Miaka 29 unataka nani amuoe na ulimuwekea kauzibe kipindi akiwa anahit ukimuaminisha utamuoa na sasa umebadili mawazo

Wanawake usikae na mwanaume zaidii ya mwaka Kama hakuoi kubali hao wanaotaka kuoa wakuoe… Kama mtu tayari anauwezo wa kuoa anasubiri nini?

Wanawake msizae na wanaume wasiowaoa.. amini kwamba asilimia chache sana huwaoa waliozaa Nao wengi hawaoi waliozaa nao

Wanawake msiolewe na singofaza wakawaoe waliowazalisha

Wanaume msipobadilika mtakufa Kama kuku kwa laana na machozi ya wanawake… Kama mjuavyo Mungu anasikia kilio cha mwanamke sana jipangeni in
 
na nyiny vijana wakifwata kipindi mna miaka 23 wafunge Ndoa na nyiny uwa mnajibu na mtu wangu ila mkishafika miaka 29 kwenda juu mnakua hamwana watu wenu.

Sasa si ni kweli unakuta ana mtu wake.. hivi hata ingekuwa wewe una mwanamke unampenda mmetoka mbali mnapendanA mna malengo atokee mwanamke mwinginee akupende utamuacha huyo mwanamke ukamuoe huyo mpya et kwasababu tu anakupendaa anataka muoane

Hebu geuza hilo swali liwe kwenu

Tunakaa Nao kwasababu tunaamini watatuoa
 
Wenzio wanapenda kweli wanaume wenye watoto, kuna kipindi nilikuwa nikitoka tu na kitoto changu kwenye misele LAZIMA niopoe demu mpya njiani.

Wanakunafkia in deep Hakuna mwanamke anapenda mwanaume mwenye mtoto ni vile siku hizi kila kijana ana mtoto
 
Mwanamke bila uvumilivu hujawa mwanamke, kwa maana mitihani hiyo ipo mpka kwenye ndoa, fikiria umeolewa halafu unaletewa kitoto cha nje ulee.

Mungu akupe uvumilivu wa kike uweze kustahimili.
 
Mwanamke bila uvumilivu hujawa mwanamke, kwa maana mitihani hiyo ipo mpka kwenye ndoa, fikiria umeolewa halafu unaletewa kitoto cha nje ulee..
Mungu akupe uvumilivu wa kike uweze kustahimili.

Na hapo ukilogwa nani mbaya
 
Back
Top Bottom