Ritz
JF-Expert Member
- Jan 1, 2011
- 47,394
- 33,041
Hivi nyie walokole nani kawaroga? Nikuulize ukiitoa Israel watu wengine wameumbwa na Mungu wa uongo?Ndo maana Mungu wa kweli ni Mungu wa Israel. Ni taifa linalolindwa na Mungu wa kweli. Kama Allah angekuwa wa Kweli leo kusingekuwa na Wayahudi na Israel.
Usiwe punguani kiasi hicho mungu wa kweli ndiyo karuhusu huu unyama?
View: https://x.com/jacksonhinklle/status/1787736553856323805?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw