Wanajeshi acheni ubabe, mapenzi hayafosiwi. Kwa nini ufosi ikiwa mtu hakutaki?

fundi bishoo

JF-Expert Member
Jun 26, 2018
13,132
22,973
Kwema niko chaka mji kasoro bahari huku nimepata mwanamke mzuri sana ananipenda tena yuko vzr haswaa ila changamoto ni Hawa jamaa sijui wapoje ningekua na uwezo wa kumroga ningemroga uyu jamaa anamsumbua demu wangu.

Mda mrefu sasa anafkia hatua ya kumtishia maisha kisa yy mjeshi.

Wakuu, naumia roho sana namuona kioenzi changu anakosa furaha kisa mtu mmoja tu.

Kama upo humu ww mjeda acha kufosi tafuta wako pesa na soon naenda kukupga kimbola naenda Tanga kununua uchawi ww s unarngia madaraka afu mtu mwenyewe kuruti hana vyeo hauna.
 
Anataka kumfanyaje inaweza ikawa kashamfanya Ila jamaa kanogewa chukua maamuzi ya kukaa nae umsikilize kidume mwenzio mlinzi wa Taifa, tuliza munkari yaweza ikawa kuna usiyoyajua kuhusu hio mamsi utajifunza kitu Ila km unakaza sawa kaza kimya kimya usipige kelele kukuchezea pump action kwao sio hasara Ila tu sheria zinawabana
 
Kama una uhakika anamtishia maisha na ushahidi upo niambie nikupe njia sahihi ya kwenda kumuwajibisha huyo jamaa ila cha msingi awe mkeo au mchumba ambaye ni rasmi mpo kwenye mikakati ya ndoa , barua, au utambulisho unajulikana kanisani au kwa wazazi wenu wote.
 
Back
Top Bottom