Wanajeshi 154 wamefariki tangu kuanza kwa vita

Mrisho com

JF-Expert Member
May 2, 2015
3,926
3,968
Israeli imesema wamepoteza wanajeshi wao 154 tangu kuanza kwa vita hivyo na mahasimu wao Hamas.Ingawaje Hamas inasema sio kweli kwa idadi iliyotangazwa ni ndogo tofauti na kile kinachoonekana uwanja wa vita.

Aljazeera
 
Israel inavuna ilichopanda, Israel inapigana na vijana wadogo waliopandikizwa chuki na kushuhudia wazazi wao wakiuawa kikatili. Wengi wao hao vijana ni wamezaliwa 1990's na early 200'0s.

Chuki imepandwa na sasa imestawi, hao vijana wa Hamas wanapigana na hawaogopi chochote, clip nyingi zinaonyesha wakisogelea kifaru na kupanda mlipuko kwenye kifaru, mtu akifika level hio ya ujasiri ni dhahiri hio vita hutashinda.

Watoto ambao wapo Gaza hivi sasa walioshuhudia wazazi wao wakiteketea na ndugu zao, baada ya miaka 10,15 au 20 wanakuwa kama hawa, na watataka kulipa kisasi. Hii vita hapo katika hilo eneo haitoisha.
 
Back
Top Bottom