Da'Vinci
JF-Expert Member
- Dec 1, 2016
- 35,758
- 107,109
Tokugawa Shogunate...
Kuna haka ka-Miniseries kametoka kwenye Chanel ya FX, watu mitandaoni wamekua wakiifananisha au kusema kwamba imezidi ubora GOT.
Binafsi nimeitazama hii series nakubali Writing, Cinematography, Culture depiction na Acting ni ya hali ya juu. Yaani ukikaangali haka kaseries hadi unajihisi umekua Mjapan. Sasa hivi najiita Da'Vinci-sama😎
Btw mm kama mpenzi wa GOT nimetazama hii series zaidi ya mara mia... Ukweli haina hadhi ya kufananishwa wala kuisogelea Game of thrones.
Sema FX wajanja wametumia mbinu ya kuifananisha na GOT ili kupata attention ya watu. Mm mwenyewe walinipata kwa namna hii.. Maana niliona wanasema wanataka kuachia series yenye kuzidi ubora GOT.
Kwa muono wangu series ni nzuri ila haijafika level za GOT.
Je kwa mlioitazama hii series mna maoni gani??