KERO Wanafunzi wa Chuo cha Mipango na Maendeleo vijijini hatujapewa fedha za boom hadi sasa

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
Huu ni mwandiko wa mwanafunzi wa Elimu ya Juu?😭😭

inasikitisha sana
 
Chanzo hiki hapa
IMG-20240508-WA0007.jpg
 
KERO Ucheleweshwaji wa malipo ya pesa za kujikimu (boom) kwa wanachuo
 
Una maanisha pesa yenu imekuja chuoni ila chuo ndio hakijawaingizia kwenye akaunti zenu? MaaaaG
 
Mmeambiwa mkipewa mnaenda kulewa, inashauriwa msipewe mnaitumia vibaya, bora ipelekwe kwenye karo tu
 
Back
Top Bottom