nyamatongo
JF-Expert Member
- Dec 21, 2018
- 461
- 595
Utafiti umeufanya kupitia ndugu zako au wazazi wako? Tujuze mkuu..
Hongera sanaSikuwahi hata ipenda tokea nilivyoanza form 1 nilivutiwa na Commerce and Book keeping
Kumbe ulipenda Masomo ya hela hela tu 😜Sikuwahi hata ipenda tokea nilivyoanza form 1 nilivutiwa na Commerce and Book keeping
Kamba hii😂Mathematics O level nimefundishwa na Mzungu, ni mmarekani. Anasema kule darasa zima wanapata One na ikitokea mtoto ka loose basi ana two...
Nyie ndo mnaopewa tenda na serikali mjenge majengo, hela mnatia mfukoni mnajaza michanga badala ya cement?😂Kumbe ulipenda Masomo ya hela hela tu 😜
Binafsi nilipenda Sayansi na nilifanikiwa kusoma Sayansi(Engineering ) ambayo inasaidia kusolve matatizo ya Jamii hapa Bongo
Japo ningeendaga kusoma vyuo vya mbele huko huenda ningekuwa best Engineer kuliko ilivyo sasa🥲
Kambamiza ukutaniHata biblia imetuasa mara moja Moja kiboko ni lazima, mtoto anasoma saikolojia haraka sana tena vya sa ivi ni vijanja kweli akishabaini kua hawezi kuchapawa pindi akifanya makosa ataanza Tabia nyingi za ajabu
Mtoto anachoogopa ni fimbo, japo siungi mkono uchapaji usiozingatia sheria, umri na Hali za watoto, ila mara moja Moja sio mbaya
Enzi zetu aisee bakora zilikua zinatembea sio poa
Kwenye shavu nina alama nilifinywa na mwalimu Mlekwa nikiwa darasa la kwanza mpaka leo ipo.
Mimi nina huruma na jamii yangu ya akina ephen_ hivyo nazingatia sana ubora na viwango pamoja na Value for money Mkuu 🤗Nyie ndo mnaopewa tenda na serikali mjenge majengo, hela mnatia mfukoni mnajaza michanga badala ya cement?😂
Barabara mwezi zishajaa matobo?
Kwa mshahara gani?Mwanangu alirudi nyumbani siku moja huku akiongea kusema "Ile shule siitaki , usiponihamisha siendi tena"
Imagine mtoto wa darasa la kwanza Mwalimu anamwadhibu kwa kumpigisha ukutani
Naunga mkono hojaMwanangu alirudi nyumbani siku moja huku akiongea kusema "Ile shule siitaki , usiponihamisha siendi tena"
Imagine mtoto wa darasa la kwanza Mwalimu anamwadhibu kwa kumpigisha ukutani...
Hawa wenzetu tunaoona hawana maadili ndio wanatuzidi kila kitu... Uvumbuzi etc.Mathematics O level nimefundishwa na Mzungu, ni mmarekani. Anasema kule darasa zima wanapata One na ikitokea mtoto ka loose basi ana two...
Hoya broo...huyo Mwl Mlekwa sio yule aliyekua shule ya Msingi Azimio Mwanza....kama ndo huyo nami kanibonda sana yule Mwamba na TABIA yake yakupiga fimbo madirishani.....Mwenyezi Mungu ampumzishe Kwa amaniKwenye shavu nina alama nilifinywa na mwalimu Mlekwa nikiwa darasa la kwanza mpaka leo ipo.
Kwa akili ya kawaida mtoto wako anaakili kulko wewe.Mwanangu alirudi nyumbani siku moja huku akiongea kusema "Ile shule siitaki , usiponihamisha siendi tena"
Imagine mtoto wa darasa la kwanza Mwalimu anamwadhibu kwa kumpigisha ukutani...