Urban Edmund
JF-Expert Member
- Mar 20, 2018
- 1,968
- 2,462
Habari za kazi wana Jf, Tunajua kuna level nne za shule (secondary/Ordinal level) hapa kwetu Tanzania
1. Special (Vipaji maalumu)
2. Technical (Ufundi)
3. Boarding (Bweni kawaida)
4. Teule (shule za halmashauri )
5. Day (kata)
wale waliosoma shule za ufundi tujadili ubora na madhaifu yaliyokukuta/ulioyaona kwenye shule hizi (Iyunga, Ifunda, Mtwara Tech, Moshi Tech, Tanga Tech, Musoma Tech na Bwiru Tech zimeongezeka mwadui na chato Tech)
changamoto
• ufundi mnasomea darasani tu hakuna vitendo
Faida
•Engineering science ili somo tamu bana ila sijawahi jua kati ya Physics na ES lipi gumu zaidi madude ya Projectile, angular motion unayapiga ukiwa three tu
• wananolewa vijana ambao wanaenda kuwa wasumbufu sana huko special Advance mfano Cloud Kitumbika pale Tabora school no 3 TO 2020, Edward Lowassa aliwasumbua sana Ilboru na kuwa top ten kitaifa miaka ya 2020
•wanazalishwa maEngineer waliopure sana wakipita Tech
tupia unalolijua kuhusu Technical schools