bistable multivibrator ilikuwa kichomi,opamp,NAND na AND GATES
Ila kiukweli Electronics ilikuwa balaa,lakini kama ingewekwa kwenye syllabus ili ifundishwe mwanzoni ni rahisi sana.bistable multivibrator ilikuwa kichomi,opamp,NAND na AND GATES
hongeraa Mwana PCM mwenzanguu... Usister duu wote ulee ulitusua E ...kip it upElectromagnetism, mechanics. Nadhani 70% ya topic za Physics zilikua kichomi. Mungu mkubwa sijui nilipataje E. Nilijua safari yangu ya elimu iliishia form six. Nijiona genius baada ya kusoma PCM na nikaenda chuo. Maana mtoto wa kike afu sistaduu haikua rahisi saba
Sio kweliUzi Wa watu waliokuwa hawafui nguo wala kupata muda Wa kuoga
Sure kabisa mkuu huamini?98%physics????
Mimi kitu cha fluid mechanics, magnetism ilikua mtelezo sana asee
Imebidi nicheke tu,mbaya zaid kitu cha Necta hakinaga marekebisho,Hahahaah, unaishia definition tuu na kuandika data na kanuni unazozikumbuka. Utata unaanziaga pale unapoandika kanuni halafu unakuta data kibaaaao huna.
Hukawii kucoment swali limekosewa.
Wave yote ize tu had wave optic ni urembo tuduh mnyama wave 2, mwanzo wa doppler pale